Happy Valentine's day ...from Babu DC.

Happy Valentine's day ...from Babu DC.

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,253
Reaction score
11,626
Siku kuu ya wapendanao (Valentine's day,tunayoiga kutoka kwa wenyewe) inakaribia kwa speed ya ajabu. Ni siku maalum si kwa wapenzi na wanandoa tu bali kwa wote wanaogusa mioyo na maisha ya wenzao kwa jinsi ya ajabu sana, na kuwaongezea sekunde, dakika, saa na hata siku zaidi za kuishi.

Napenda kuwashukuru nyote ambao mmekuwa marafiki zangu na kuyagusa maisha yangu kwa jinsi ambayo sikuwahi kutegemea!

Nawatakia siku kuu njema, muisherehekee kwa furaha, amani na upendo wa hali ya juu ili kusiwe na majeruhi wa aina yoyote.

I wish you a very happy Valentine's day,

Babu DC .....(Coming back very soon)!!
 
Thank you Babu DC, HAPPY VALENTINE TO YOU TOO,ENJOY!!!!!!
 
Happy Valentine's to u too Babu..... Me loves u soo soo much yaani!! Mwaaah......
 
Ahsante sana Smile...hebu mpeleke taratibu huyu babu...spring zote kwishnei!
 
Siku kuu ya wapendanao (Valentine's day,tunayoiga kutoka kwa wenyewe) inakaribia kwa speed ya ajabu. Ni siku maalum si kwa wapenzi na wanandoa tu bali kwa wote wanaogusa mioyo na maisha ya wenzao kwa jinsi ya ajabu sana, na kuwaongezea sekunde, dakika, saa na hata siku zaidi za kuishi.

Napenda kuwashukuru nyote ambao mmekuwa marafiki zangu na kuyagusa maisha yangu kwa jinsi ambayo sikuwahi kutegemea!

Nawatakia siku kuu njema, muisherehekee kwa furaha, amani na upendo wa hali ya juu ili kusiwe na majeruhi wa aina yoyote.

I wish you a very happy Valentine's day,

Babu DC .....(Coming back very soon)!!

2756.gif

Have a lovely one DC and all members wa jamvi hili tukufu.
 
Mkuu asante. nami nawatakia wanaJF wote happy VDay maana JF nimenisaidia sana kwa mawazo na burudani
 
Hivi imeshafika??Haya happy valentine wapendwa!Babu usiwe bize sana na wajukuu ukamsahau bibi!
 
Asante sana mkuu. Nimeipenda sana signature yako. Kuna watu dunia hii wamebeba mizigo mikubwa sana kiasi kwamba hata nguvu za kutembea zimewaishia!!

The more anger towards the past you carry in your heart, the less capable you are of loving in the present- Barbara De Angelis
 
Hivi imeshafika??Haya happy valentine wapendwa!Babu usiwe bize sana na wajukuu ukamsahau bibi!

Ahsante sana Lizzy.....Ndo hivyo inabidi tuwahi kuwatakia kila la heri wajukuu kabla mukichwa hakuchakachuka!

Usiwe na shaka...babu is coming back every soooooooooooon!
 
Hahahahahahah Moyo unatakiwa upige siku zote lakini kwenye mapenzi moto moto mapigo huongezeka zaidi Mkuu.

Like Magic - JRDN | Music Video | VEVO

Mhhh...kwetu ambao umri umeshaenda ni hatari sana. Kwani moyo wenyewe unakuwa tayari umechoka na ukijiingiza kwenye speed za namna hiyo unaweza kuzimika ghafla kama bwana wakubwa wanaozimikaga kati ya saa 5 na saa 6 usiku!!
 
Haya DC basi aste aste ili moyo usidunde kupita kiasi LOL!
 
Happy valentine to all hasa wale wanaotembelea hili jukwaa tulivu
 
Back
Top Bottom