Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Siku kuu ya wapendanao (Valentine's day,tunayoiga kutoka kwa wenyewe) inakaribia kwa speed ya ajabu. Ni siku maalum si kwa wapenzi na wanandoa tu bali kwa wote wanaogusa mioyo na maisha ya wenzao kwa jinsi ya ajabu sana, na kuwaongezea sekunde, dakika, saa na hata siku zaidi za kuishi.
Napenda kuwashukuru nyote ambao mmekuwa marafiki zangu na kuyagusa maisha yangu kwa jinsi ambayo sikuwahi kutegemea!
Nawatakia siku kuu njema, muisherehekee kwa furaha, amani na upendo wa hali ya juu ili kusiwe na majeruhi wa aina yoyote.
I wish you a very happy Valentine's day,
Babu DC .....(Coming back very soon)!!