happy valentines to you too...DC
May be anaogopa mugongo mugongo....LOL!!!
Muzima lakini wewe?
Siku kuu ya wapendanao (Valentine's day,tunayoiga kutoka kwa wenyewe) inakaribia kwa speed ya ajabu. Ni siku maalum si kwa wapenzi na wanandoa tu bali kwa wote wanaogusa mioyo na maisha ya wenzao kwa jinsi ya ajabu sana, na kuwaongezea sekunde, dakika, saa na hata siku zaidi za kuishi.
Napenda kuwashukuru nyote ambao mmekuwa marafiki zangu na kuyagusa maisha yangu kwa jinsi ambayo sikuwahi kutegemea!
Nawatakia siku kuu njema, muisherehekee kwa furaha, amani na upendo wa hali ya juu ili kusiwe na majeruhi wa aina yoyote.
I wish you a very happy Valentine's day,
Babu DC .....(Coming back very soon)!!
Mkuu asante. nami nawatakia wanaJF wote happy VDay maana JF nimenisaidia sana kwa mawazo na burudani
Ahsante sana mkuu..Naona huyo moyo unapiga sana....Sijui ndiyo inavyotakiwa wakati wa siku kuu hii ya upendo na mapenzi?
Hivi imeshafika??Haya happy valentine wapendwa!Babu usiwe bize sana na wajukuu ukamsahau bibi!
Hahahahahahah Moyo unatakiwa upige siku zote lakini kwenye mapenzi moto moto mapigo huongezeka zaidi Mkuu.
Like Magic - JRDN | Music Video | VEVO
Mhhh...kwetu ambao umri umeshaenda ni hatari sana. Kwani moyo wenyewe unakuwa tayari umechoka na ukijiingiza kwenye speed za namna hiyo unaweza kuzimika ghafla kama bwana wakubwa wanaozimikaga kati ya saa 5 na saa 6 usiku!!