Happy Valentine's Day my babe

Happy Valentine's Day my babe

Vinafanyiwa ukatili sana leo naamini. Walau tarehe imeumana na siku ya majivu, huenda kukawa na afadhali.
Dah watanzania wenyewe walivyo na wenge utasema wametupiwa yale majini aliyotupiwa mayele,Leo lazima wachanganye tango na Asali.
 
510028542.jpg

God Bless Israel
 
Wewe nakesi nimeletewa ni tag nikuchambe best yangu ila nakupendga hata sijakuona ningekuwa na heraa acha tu ningekutengeneza body sura tukupe vitu vizito vitoe madini mazito
Kesi gani hiyo babe.
Nani huyo anaenitafuta mie?
 
Wewe nakesi nimeletewa ni tag nikuchambe best yangu ila nakupendga hata sijakuona ningekuwa na heraa acha tu ningekutengeneza body sura tukupe vitu vizito vitoe madini mazito
Hivi ni nani huyo anaenitafuta ungenitag huko huko babe.
Hii sura nzito shemeji ako kanipenda hivi hivi😊😊😊❤️❤️❤️
 
Back
Top Bottom