KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Kama unataka kualalisha sema lakini sijui kama inasound labda tuulize kwa wataalam!!Hivi sio ruksa kuwa na Valentine zaidi ya mmoja ????, kwa mapenzi tofauti ofcourse..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unataka kualalisha sema lakini sijui kama inasound labda tuulize kwa wataalam!!Hivi sio ruksa kuwa na Valentine zaidi ya mmoja ????, kwa mapenzi tofauti ofcourse..
Hivi sio ruksa kuwa na Valentine zaidi ya mmoja ????, kwa mapenzi tofauti ofcourse..
Ofcourse mpenzi wa as a couple ni mmoja tu.., The First, The Last and The Only..., mimi nilikuwa ninamaanisha kwamba huenda kesho ukawa na kadi tofauti kwa dada, kaka, shangazi etc..., lakini the chocolate, the wines and flowers na kutoka hilo ni special kwa mmoja tu..Mpenzi mmoja...mama...dada...kaka...baba....mjomba...shangazi...mtoto....rafiki inaruhusiwa!!!
Wapenzi wakizidi ndio mbaya!!!!:coffee:
Thats what I said...mpenzi mmoja na ndugu plus marafiki inaruhusiwa!Inakua hujachakachua kama KKK anavyosema!Ofcourse mpenzi wa as a couple ni mmoja tu.., The First, The Last and The Only..., mimi nilikuwa ninamaanisha kwamba huenda kesho ukawa na kadi tofauti kwa dada, kaka, shangazi etc..., lakini the chocolate, the wines and flowers na kutoka hilo ni special kwa mmoja tu..
Wale wapendanao kesho kuweni macho msome mwenza wako kwani kesho lazima upigwe changa usiruhusu dharura shinda naye vinginevyo kesho maua yatatolewa kwa watu zaidi ya mmoja!Wajanja ukiona umeletewa maua asubuhi nakuondoka hukuakisema anadharura jua imekula kwako!!Akileta jioniii wakati umesha kata tamaa ya ujio wake basi ujue kuna mahali kaanzia wewe kaja kuhitimisha!!Happy Valentine!!
Hivi kumbe kesho valentine?
Dah! Ya mwaka huu patupu.....
Siana wakumchakachua!!patupu nini sasa?
Kuna kitu umrkiruka umetuchakachua mbona ujasema baada bend mliishia wapi habari hii siyo kamili!!Jamani tumeongelea tulivyotendwa na kila kitu embu tuongelee vituko vya valentine kama vile unanunua zawadi kumbe feki. unapanga dinner mara mtu anapata safari ya ghafla.
Mimi nina kituko kimoja hivi,valentine nafikiri 2002 hivi tumejiandaa kama couple nne tutoke dinner na ushamba wetu tukajifanya wengine tumehifadhi njaa ili tule five cse huko new africa hotel hata tusireserve tukaanza kuwasili tunawekwa tusubiri meza njaa inazidi mpaka nikaanza kutapika sababu ya njaa ilipofika saa tatu na nusu tukaambiwa meza bado na jiko linafingwa saa nne
Tukaondoka hoteli kama mbili hivi kote kumejaa basi tukaishia american chips kinondoni na magauni yetu nakwambia tukawekewa meza acha tule huku tukipeana zawadi kila mmoja wetu.kutoka hapo tukajikuta tumeingia kwenye mabendi ya kinondoni kila mmoja kachokaaaaa hoi haijafika saa nane tumbo zikaanza kuuma tukaondoka kesho yake kila mmoja anaumwa mbaya tuliharisha kila unaempigia anaharisha uzuri ilikuwa week end.duh
wapenzi pangeni dinner zenu mweke reserve mapema msijeishia msipotarajia.
Embu mwenye kituko cha valentine amwage hapa tucheke
Ubarikiwe sna best
aimen:coffee:
Babu nimetoswa na jamaa vipi huna marafiki zako :twitch::twitch::twitch::twitch: