Happy valentine's day

Happy valentine's day

hahaha...nani huyo kakutosa....afu misio babu MR..udalali siuwezi so will volunteer myself...lol mambo vipi lakini:clap2:

Dah afadhali maana nilikuwa nakuwinda kama ndege :first: lol hihi ihiihihi iiiiiiiiiiiiiiiii. Mambo powa how is blue monday :coffee:
 
Jamani hapa nimepewa maua kadi!!Ila nasikitika nikwamba nitaviacha hapa ofisini!!Maana yake imekuwa haina maana!!Sijui nimimi wakwanza au kunawengine watazungushiwa??Anyway nimeshapokea na kusema I love you too ila sasa siwezi kuthubutu kuvuka nayo mlango wa ofisi!!:clap2:
 
You feel like this day should pass so quickly

em tulieni huko,kwani kila valentine lazima nyie muwe na wapenzi?ndo mjue umuhimu wao,acheni kabisa kuchakachua hii thread.....you will be punished!!!
 
Back
Top Bottom