Point!, mulemule..
"GIRLS COMPETE WITH EACH OTHER, WOMEN EMPOWER ONE ANOTHER"
KUJITAMBUA!Mie ukitaka unikimbize niskie habar za ubuyu!eishhh siwez!nahs haunihusu !lmao
Asante sister wa ukweli naomba umwambie heaven sent aje aniombee tena maana siku km hizi zinanikumbusha machungu na chuki yangu sina furaha hata kidogo mwenzio
Yap!, word!
Kujitambua muhimu sana aseh, inakupa power within na hakuna kitakachokusumbua.
i rem siku diamond anaongea kuhus mtoto wa hamisa !jaman sik ile nilibak alone ofisin!uwiii nilijihs mie 'me'!!!!
[emoji13] [emoji13] uanze kujitafakari wewe uliyefurahia mwenzio kupewa cha mbavuKweli wanawake hatupendani, yaani hata hujajua azma yangu tayari unaniendea kwa mshana jr? [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwani hujui kuwa wanawake hatupendani? Nimefurahia kuachika kwako[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji13] [emoji13] uanze kujitafakari wewe uliyefurahia mwenzio kupewa cha mbavu
Sasa unashangaa nini mimi kukuendea kwa sangoma[emoji57]Kwani hujui kuwa wanawake hatupendani? Nimefurahia kuachika kwako[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nenda kwa sangoma mi ngoja niende kwa mzee wa upako,tuone nani zaidiSasa unashangaa nini mimi kukuendea kwa sangoma[emoji57]
Kwa mzee wa upako unatakiwa uende ukiwa msafi sasa unaenda na kijiba cha roho maombi yatakupisha njiaNenda kwa sangoma mi ngoja niende kwa mzee wa upako,tuone nani zaidi
Nikifika nitatubu kwanza kisha ndo nipige maombiKwa mzee wa upako unatakiwa uende ukiwa msafi sasa unaenda na kijiba cha roho maombi yatakupisha njia
[emoji23] [emoji23] kama unaomba kwa Mungu huyu ninayemjua mimi atakwambia yule mwanaume wa mwenzio achana naeNikifika nitatubu kwanza kisha ndo nipige maombi
Sijui kwanini hatupendani na hata msichana mwenzio akikuona umefanikiwa anakusema vibaya behind your back
Happy women's day
Kuheshimiana kwetu hakuhusiani na swali nililokuuliza. Kumbe mi umeniambia utakua busy halafu unaomba mtoko na mke wenzangu Khantwe.Mzigua90 tafadhali nakuheshimu sana tena sana, naona unataka kuchafua thread kama sio kunisababishia BAN, mko wangapi viiiiiipi?
We na Shunie mlivyonisababishia maradhi ya moyo nikabaki na asaz nna hamu? Tena Sakayo shahidi yangu. Au umeamua kutumia mbinu mpya ya kuvurugana kwenye post kama Mahondaw?
Naomba mnihurumie nipumzike