Happy Women's Day

Happy Women's Day

Yap!, word!
Kujitambua muhimu sana aseh, inakupa power within na hakuna kitakachokusumbua.

i rem siku diamond anaongea kuhus mtoto wa hamisa !jaman sik ile nilibak alone ofisin!uwiii nilijihs mie 'me'!!!!
 
[emoji123][emoji123][emoji123]
IMG_20180308_182910_029.JPG
 
Binadamu ndivyo walivyo CG na hili si kwa wanawake tu bali hata kwa baadhi ya ME.

Sijui kwanini hatupendani na hata msichana mwenzio akikuona umefanikiwa anakusema vibaya behind your back


Happy women's day
 
Mzigua90 tafadhali nakuheshimu sana tena sana, naona unataka kuchafua thread kama sio kunisababishia BAN, mko wangapi viiiiiipi?
We na Shunie mlivyonisababishia maradhi ya moyo nikabaki na asaz nna hamu? Tena Sakayo shahidi yangu. Au umeamua kutumia mbinu mpya ya kuvurugana kwenye post kama Mahondaw?
Naomba mnihurumie nipumzike
Kuheshimiana kwetu hakuhusiani na swali nililokuuliza. Kumbe mi umeniambia utakua busy halafu unaomba mtoko na mke wenzangu Khantwe.
Je Tuko Wangapi?
 
Back
Top Bottom