[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Niamini jamani nilikuwa nachepuka sababu sikupata mahali kwa kuweka mikono na miguu maana wote walikuwa pasua kichwa tu...kwako nitaanzaje labda kuchepuka, nikafuate nini [emoji13] [emoji13]
Acha umbea[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Putin i miss youDuuuhhh wacha nisiwe mnafiki.
Toka nmejiunga JF leo ndo nmeona Post yako ya Maana !!.
Jeshi la wapi wewe mbona unapenda kunizushiaJitie unanichamba kabla sijaanza kuita jeshi lako hapa lije kukufumania unawakana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umetumwa eeh?Ngoja nishaenda kuwaambia pm kuwa mwanamke wao unawakana.
Enjooooy babygirlbora utangulie...mi bado
Nafuu naipata kidogo alhamdulilahihhahahah !pole dada lake ! ila usisubiri kupewa furaha !jipe mwenyewe aisee !!NGOJA tumwite Heaven Sent
atleastNafuu naipata kidogo alhamdulilahi
Nimekuja wapenzi. Happy women's day to you superwomenAsante sister wa ukweli naomba umwambie heaven sent aje aniombee tena maana siku km hizi zinanikumbusha machungu na chuki yangu sina furaha hata kidogo mwenzio
hhahahah !pole dada lake ! ila usisubiri kupewa furaha !jipe mwenyewe aisee !!NGOJA tumwite Heaven Sent
Tumekumiss nilipitia ombi lako tena nimepata nafuu nikiwa tofauti ntarudi tena usinichokeNimekuja wapenzi. Happy women's day to you superwomen
Mweeh usijali ndugu yangu, muda wowote tu karibu sana; ndo maisha. Mungu na azidi kukufanyia amaniTumekumiss nilipitia ombi lako tena nimepata nafuu nikiwa tofauti ntarudi tena usinichoke
Nimekuja wapenzi. Happy women's day to you superwomen
Superwoman....."GIRLS COMPETE WITH EACH OTHER, WOMEN EMPOWER ONE ANOTHER"