Happy Women's Day

Happy Women's Day

Niamini jamani nilikuwa nachepuka sababu sikupata mahali kwa kuweka mikono na miguu maana wote walikuwa pasua kichwa tu...kwako nitaanzaje labda kuchepuka, nikafuate nini [emoji13] [emoji13]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Its not a rejection in such,just compatibility issues. Wee muulize Sakayo atakwambia, shunie na mzigua waliniambia hivyo hivyo kwamba ntakua njia kuu. Hadi sasa hivi natembea na chupa nimening'iniza drip.
Sema tu unataka kumdanganya Khantwe
 
Asante sister wa ukweli naomba umwambie heaven sent aje aniombee tena maana siku km hizi zinanikumbusha machungu na chuki yangu sina furaha hata kidogo mwenzio
Nimekuja wapenzi. Happy women's day to you superwomen
hhahahah !pole dada lake ! ila usisubiri kupewa furaha !jipe mwenyewe aisee !!NGOJA tumwite Heaven Sent
 
Back
Top Bottom