Happy Women's Day

Kwanini hivi inakuaga hivi,mimi ndo mana sinaga marafiki wengi wa kike na sijui kwanini nikienda mahali lazima ntapata marafiki wa kiume kwanza na sio wanawake
Mimi ndo huwa sielewi nina marafiki wa kike na kiume ila nikagundua wa kiume hawana unafki sema sisi sasa kwa kusemana vibaya na kuombeana mabaya tu yani hatupendani kabisa
 
Mfano mdogo siku ya hukumu ya lulu wanawake wengi walifurahia hasa humu,siku alipoachika mange aiseee ilikua sherehe.

Mfano mwingine bora kabisa ni siku ziliporushwa picha za nifah humu aisee wanawake kupendana ni ndoto

Haya mambo yapo sana tu. Msiokua na roho za kwann hongereni sana
mhhh Numbisa nahs umegeneralize sana sana !wengne hatunaga mizuka na ishu km hzo....kumcheka mwanamke mwenzako aloachika nk nk!kusutana,!anywys !yapo pia na ukiamua kuyaishi!
 
Mimi ndo huwa sielewi nina marafiki wa kike na kiume ila nikagundua wa kiume hawana unafki sema sisi sasa kwa kusemana vibaya na kuombeana mabaya tu yani hatupendani kabisa

ila inategemeana na aina ya marafiki kwakwel!na kuwa na marafiki weng nayo tabu!mie nna marafiki ambao wakija kwangu inabid mume aondoke atupishe tu!maana had room kwang wanakuja !na mm pia !yaan mpo free hatari !
 
Hahaha
Happy mama's day!!
 
Mfano mdogo siku ya hukumu ya lulu wanawake wengi walifurahia hasa humu,siku alipoachika mange aiseee ilikua sherehe.

Haya mambo yapo sana tu. Msiokua na roho za kwann hongereni sana

sema wewe unawaongelea wa celebrieties forum!mie wote hao nilihuzunika !hutakuta ht comment yanng huko !kwanza sibarikiw na habar za mastaa ! nawaonaga nyie na teams zenyu!anywys !HULKA
 
Happy mama's day kwa wamama wote wa jf...
Ni wakati wa kusimama na kuonyesha uwezo wetu kwenye maendeleo ya familia, jamii na Taifa.

Umoja na ushirikiano uwe nguzo na upendo uwe msingi wetu daima!!!

Happy mama's day!!!!!
 
Sio kule tu,nimeedit hio comment hapo

Mfano halisi wa kuonyesha hatupendan ni siku ziliporushwa picha za nifah hapa jukwaan kupitia uzi wa kuilalamikia forex aiseee wanawake kupendana ni ndoto,wengi waliotoa comment za kejel kwa member mwenzetu ni wadada walimchambua vya kutosha
sema wewe unawaongelea wa celebrieties forum!mie wote hao nilihuzunika !hutakuta ht comment yanng huko !kwanza sibarikiw na habar za mastaa ! nawaonaga nyie na teams zenyu!anywys !HULKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…