Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kabisa mamy ikawa hiyo ndo sababuhulka tu! na umaskini pia unasumbua!nadhan na elimu za kujtambua HATUNA !
Aiseee ila tutafika tuNahisi n maumbile tuko hivyonna hiyo ni moja ya mapungufunyetu
Happy women's day
Mimi ndo huwa sielewi nina marafiki wa kike na kiume ila nikagundua wa kiume hawana unafki sema sisi sasa kwa kusemana vibaya na kuombeana mabaya tu yani hatupendani kabisaKwanini hivi inakuaga hivi,mimi ndo mana sinaga marafiki wengi wa kike na sijui kwanini nikienda mahali lazima ntapata marafiki wa kiume kwanza na sio wanawake
[emoji23] [emoji23] umejua kunikomesha haya nitampitiaWanawake hawaoneani wivu, hasa hasa siku ya leo. Kauli mbiu ni mpendane.
mhhh Numbisa nahs umegeneralize sana sana !wengne hatunaga mizuka na ishu km hzo....kumcheka mwanamke mwenzako aloachika nk nk!kusutana,!anywys !yapo pia na ukiamua kuyaishi!
Mimi ndo huwa sielewi nina marafiki wa kike na kiume ila nikagundua wa kiume hawana unafki sema sisi sasa kwa kusemana vibaya na kuombeana mabaya tu yani hatupendani kabisa
same to youWanawake wenzangu
Tuendelee kupambana
Tushirikiane na kusaidiana inapobidi
TUPENDANE pia japo pana ugumu hapa ila tujitahidi kufuta kauli ya adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
Nawatakia mafanikio mema.
HAPPY WOMEN'S DAY.View attachment 707394
HahahaMmmh kupendana ngumu mno
Wivu ndo usiseme
Kufurahia anguko la wanawake wengine tunaongoza
Kubeza mafanikio ya wanawake wengine wa kwanza
Kushinda mtandaon kumsunta mtu kisa karudia kuivaa nguo yake aliyoinunua kwa pesa yake wa kwanza
Daima wanawake tutabaki dhaifu hasa kwa msemo wa mwanamke mjanja muibie mume au zaa na mume wake.(sasa hapo anakomolewa nani,si ndo mwanzo wa kuwa single maza watoto tele baba tofauti)
Makazin full majungu na kukitembeza kwa maboss ili kupata upendeleo au kupandishwa cheo
#pooovuuu#
Hahaha
Happy mama's day!!
Mfano mdogo siku ya hukumu ya lulu wanawake wengi walifurahia hasa humu,siku alipoachika mange aiseee ilikua sherehe.
Haya mambo yapo sana tu. Msiokua na roho za kwann hongereni sana
sema wewe unawaongelea wa celebrieties forum!mie wote hao nilihuzunika !hutakuta ht comment yanng huko !kwanza sibarikiw na habar za mastaa ! nawaonaga nyie na teams zenyu!anywys !HULKA
ThanksHahaha happy us day