Happy Women's Day

Nimekuelewa sana mzingua Wangu,..Mungu atutie nguvu zaidi tuendelee kupambana kumiliki vyetu..wanawake tukitabasamu dunia nzima inajaa FURAHA...Happy Woman's Day to all Beautiful Ladies[emoji122][emoji122][emoji123]
 
Hahahahahhaaaaa mzigua unajua umenichekesha eti wewe ukimsema sawa ila wengine hautaki wamseme lol😀😀

Urafiki wa kweli ni kuambiana bhana hapa umekosea au fanya hivi
Mimi ni yule rafiki asiejua kukaa na kitu. Ukikosea nakwambia hata ukasirike. Ndo sababu rafiki zangu wananipenda na wananionaga kama dada yao hata walionizidi umri maana ndo mama ushauri wao.
 
Mimi ni yule rafiki asiejua kukaa na kitu. Ukikosea nakwambia hata ukasirike. Ndo sababu rafiki zangu wananipenda na wananionaga kama dada yao hata walionizidi umri maana ndo mama ushauri wao.
Huo ndo urafiki wa kweli na sio kuanza kumsema mtu wakati mwenyewe yupo unaweza ukamwambia! Kwanza inaleta raha na inazidisha kuimarisha urafiki wenu kuliko unafki
 
ah wapi shogale,... sipend utan wa hv!atleast anitanie km twafahamiana!washakariri sana hawa kuwa bila wao HATUSURVIVE....!eti madanga!ovyo sana
cc narumuk
Si upo morogoro?, sasa vije nisikujue mamito. Ukipita mie nakuwa ni trafic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…