Happy Women's Day

Happy Women's Day

Sasa mnafiki na mmbea si wale wale tu? Nivuruge basi kwenye thread, hautaki tuzinguane?
Mmbea anasema yasomuhusu. Mnafki anaweza asiseme ya siri ila anakuchekea machoni moyoni anatamani kukuua.
 
Kuna mmoja huyo ninae ni mbea hatari sema hapendi kuniona nasemwa anaweza akambadilikia mtu hapo hapo
Mi mwenyewe kwa kweli siwezi kuona shoga angu anasemwa nikakaa kimya. Ila mi kumsema sawa sema wengine sitaki wamseme. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi mwenyewe kwa kweli siwezi kuona shoga angu anasemwa nikakaa kimya. Ila mi kumsema sawa sema wengine sitaki wamseme. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahhaaaaa mzigua unajua umenichekesha eti wewe ukimsema sawa ila wengine hautaki wamseme lol😀😀

Urafiki wa kweli ni kuambiana bhana hapa umekosea au fanya hivi
 
Back
Top Bottom