Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks my sis, same to you!!
Anytime, U are missedThanks you shem darling
Nilichogundua ni kwamba wengine hawapendi kuona wenzao wamewapita kimaendeleowewe binafsi jiulize kwanini hampendani nyie?
Kuna mmoja huyo ninae ni mbea hatari sema hapendi kuniona nasemwa anaweza akambadilikia mtu hapo hapoWa kiume sio wanafki sema wambea sana
Mi mwenyewe kwa kweli siwezi kuona shoga angu anasemwa nikakaa kimya. Ila mi kumsema sawa sema wengine sitaki wamseme. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mmoja huyo ninae ni mbea hatari sema hapendi kuniona nasemwa anaweza akambadilikia mtu hapo hapo
Hahahhhaaaaa kabisa yani mambo mengine ni ya kuchekesha sanaMwingine unaweza kumzidi uzuri tu akakuchukia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
When you are ready just let me know, siku mvua ikinyesha itakua vzur zaidI miss you too. Zamu ya kuja kwangu lini?
Hahahahahhaaaaa mzigua unajua umenichekesha eti wewe ukimsema sawa ila wengine hautaki wamseme lol😀😀Mi mwenyewe kwa kweli siwezi kuona shoga angu anasemwa nikakaa kimya. Ila mi kumsema sawa sema wengine sitaki wamseme. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]