Happy Women's Day

Happy Women's Day

Mmmh kupendana ngumu mno

Wivu ndo usiseme

Kufurahia anguko la wanawake wengine tunaongoza

Kubeza mafanikio ya wanawake wengine wa kwanza

Kushinda mtandaon kumsunta mtu kisa karudia kuivaa nguo yake aliyoinunua kwa pesa yake wa kwanza

Daima wanawake tutabaki dhaifu hasa kwa msemo wa mwanamke mjanja muibie mume au zaa na mume wake.(sasa hapo anakomolewa nani,si ndo mwanzo wa kuwa single maza watoto tele baba tofauti)

Makazin full majungu na kukitembeza kwa maboss ili kupata upendeleo au kupandishwa cheo

#pooovuuu#
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuendelee kujiombea tutabadilika tu siku moja
 
Kwanini hivi inakuaga hivi,mimi ndo mana sinaga marafiki wengi wa kike na sijui kwanini nikienda mahali lazima ntapata marafiki wa kiume kwanza na sio wanawake
Mi marafiki wa kike ninao ila wale close close wako watatu tu. Wengine story na tunaishi vizuri. Nasemaga labda sijui ubaya wao ila so far naishi vizuri tu na marafiki zangu wa kike ila napenda marafiki wa kiume zaidi.
 
Mfano mdogo siku ya hukumu ya lulu wanawake wengi walifurahia hasa humu,siku alipoachika mange aiseee ilikua sherehe.

Mfano mwingine bora kabisa ni siku ziliporushwa picha za nifah humu aisee wanawake kupendana ni ndoto

Haya mambo yapo sana tu. Msiokua na roho za kwann hongereni sana
Wengine wivu mama. Wengine wanachukia mtu bila sababu. Jiulize hayo yaliyowakuta hao wengine wao walikua na sababu gani ya kufurahia.
 
Sio kule tu,nimeedit hio comment hapo

Mfano halisi wa kuonyesha hatupendan ni siku ziliporushwa picha za nifah hapa jukwaan kupitia uzi wa kuilalamikia forex aiseee wanawake kupendana ni ndoto,wengi waliotoa comment za kejel kwa member mwenzetu ni wadada walimchambua vya kutosha
Dooh.
 
Mbali na kasoro tulizo nazo ambazo haziwezi kaa zikaepukika bado sijawahi jutia kuwa mwanamke.

Mama ndio mlezi na siku zote anapoelimika mwanamke mmoja basi ni sawa na kuelimisha jamii nzima.

Happy Women's Day kwa wanawake wenzangu wote ndani ya jf.
Asante wanyumbani
 
Back
Top Bottom