Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuendelee kujiombea tutabadilika tu siku mojaMmmh kupendana ngumu mno
Wivu ndo usiseme
Kufurahia anguko la wanawake wengine tunaongoza
Kubeza mafanikio ya wanawake wengine wa kwanza
Kushinda mtandaon kumsunta mtu kisa karudia kuivaa nguo yake aliyoinunua kwa pesa yake wa kwanza
Daima wanawake tutabaki dhaifu hasa kwa msemo wa mwanamke mjanja muibie mume au zaa na mume wake.(sasa hapo anakomolewa nani,si ndo mwanzo wa kuwa single maza watoto tele baba tofauti)
Makazin full majungu na kukitembeza kwa maboss ili kupata upendeleo au kupandishwa cheo
#pooovuuu#
Mi marafiki wa kike ninao ila wale close close wako watatu tu. Wengine story na tunaishi vizuri. Nasemaga labda sijui ubaya wao ila so far naishi vizuri tu na marafiki zangu wa kike ila napenda marafiki wa kiume zaidi.Kwanini hivi inakuaga hivi,mimi ndo mana sinaga marafiki wengi wa kike na sijui kwanini nikienda mahali lazima ntapata marafiki wa kiume kwanza na sio wanawake
jaribu kujiheshimu !usifikiri wote wadangaji !wengne tunakula kwa jasho zetu
Wa kiume sio wanafki sema wambea sana
Wengine wivu mama. Wengine wanachukia mtu bila sababu. Jiulize hayo yaliyowakuta hao wengine wao walikua na sababu gani ya kufurahia.Mfano mdogo siku ya hukumu ya lulu wanawake wengi walifurahia hasa humu,siku alipoachika mange aiseee ilikua sherehe.
Mfano mwingine bora kabisa ni siku ziliporushwa picha za nifah humu aisee wanawake kupendana ni ndoto
Haya mambo yapo sana tu. Msiokua na roho za kwann hongereni sana
Dooh.Sio kule tu,nimeedit hio comment hapo
Mfano halisi wa kuonyesha hatupendan ni siku ziliporushwa picha za nifah hapa jukwaan kupitia uzi wa kuilalamikia forex aiseee wanawake kupendana ni ndoto,wengi waliotoa comment za kejel kwa member mwenzetu ni wadada walimchambua vya kutosha
Asante wanyumbaniMbali na kasoro tulizo nazo ambazo haziwezi kaa zikaepukika bado sijawahi jutia kuwa mwanamke.
Mama ndio mlezi na siku zote anapoelimika mwanamke mmoja basi ni sawa na kuelimisha jamii nzima.
Happy Women's Day kwa wanawake wenzangu wote ndani ya jf.
Tunakupenda piaNawapenda wadada/wamama/wadogo zangu woteeee hapa JFView attachment 707468