Happy Women's Day

Kwanini hivi inakuaga hivi,mimi ndo mana sinaga marafiki wengi wa kike na sijui kwanini nikienda mahali lazima ntapata marafiki wa kiume kwanza na sio wanawake

hawakugongi kweli wewe?
 
Hahaaa. Sijawahi waza kama na wewe ni mmoja ya wanaojua wapi Emmy anatokea. Lol.

Na kweli aisee ni wachache sana wasiojua kulitendea haki jiko.

Ahsante sana. [emoji120] [emoji120]
mbon sikuitwa huku dad emmyta [emoji15]
 
dad sijui chochote dunian kinachoendelea jamn why unasema nimeufany bib jaman
Hahahaa. Hivi hatujapiga stori kule [emoji12] tukaongelea hii siku kweli au nimechanganya madawa?

Kumbe uko nyuma sana mdogo wangu. Ila ndio hivyo leo siku yetu muhimu kabisa mdogo wangu ambayo kutokana na hii siku inapaswa wanawake tujitambue na kutokubali kuwa kwenye Manyanyaso na mateso mbali mbali tunayokumbana nayo kila kukicha.
 
sikuwa mim dad sas ndo nakuelewa nin unamaanisha magufuli legeza baba khaa si kwa kupitwa huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…