Hakika siku hii ni kati ya siku muhimu sana kwangu na kwako mpenzi wangu uran. Ashukuriwe Mungu kwa neema yake kwako na abarikiwe mama aliekuleta duniani na kukukuza kwa malezi bora mpaka hapo ulipofika mpenzi. Kwa moyo mnyenyekevu na wafuraha nikutakie heri mpenzi wangu. Mungu azidi kukubariki katika kila hatua unayopiga,ubarikiwe shambani ubarikiwe na mjini. Mtegemee Bwana wala usitegemee akili zako,katika njia zako mkiri yeye nae atanyoosha mapito yako. HAPPY BIRTHDAY MY LOVE
Hahaaa ni neema hizo shostito,full kufua nep yani
Asante best ndo nambadilisha nepi apa
Hahaaaa mwambie tukutane lile eneo la tukio.
Asante mwaya,leo niko na kichanga changu,kanavolia sasa. Kweli kulea kazi
Sasa we ukija utaharibu dili bana,kichanga atakua amelala mda uo
Asante best ndo nambadilisha nepi apa