Happybirthday @Uran

Happybirthday @Uran

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
24,684
Reaction score
28,777
Hakika siku hii ni kati ya siku muhimu sana kwangu na kwako mpenzi wangu uran. Ashukuriwe Mungu kwa neema yake kwako na abarikiwe mama aliekuleta duniani na kukukuza kwa malezi bora mpaka hapo ulipofika mpenzi. Kwa moyo mnyenyekevu na wafuraha nikutakie heri mpenzi wangu. Mungu azidi kukubariki katika kila hatua unayopiga,ubarikiwe shambani ubarikiwe na mjini. Mtegemee Bwana wala usitegemee akili zako,katika njia zako mkiri yeye nae atanyoosha mapito yako. HAPPY BIRTHDAY MY LOVE
 
Last edited by a moderator:

shost kwa vchanga mwaka huu hongera zako.
 
Last edited by a moderator:
happy birthday my shemej king wa vale, MUNGU akupe maisha marefu na ufanikiwe. Enjoy za dai.
 
Last edited by a moderator:
Happy bday uran
Hongera mamito kwa kulea katoto Leo mpake mapoudaaa kwa wing
 
Last edited by a moderator:
Hpy birthdy to him

Umekuza eei...hongera
 
kwa mbnde sana nitamwambia lakn pind mnakutana nami nitakuwepo, af wew unataka umwache kchanga ukakutane na my husband kweli????

Sasa we ukija utaharibu dili bana,kichanga atakua amelala mda uo
 
Back
Top Bottom