Hahahaaa mimi siyo mwanaume wa dar wa kumwagiwa maji machafu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani wewe akili zako zinasuguana jambo ambalo limepeleka ubongo wako umepata kutu.
Happy Birthday sasa nenda ununue keki na maji machafu umwagiwe.
Nimechoka tuMbona unaguma mzee