Hapy birthday to me Beira Boy/London Boy

Hapy birthday to me Beira Boy/London Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa

Nazan wote mko wazima wa afya njema
Siku ya tarehe7 may ndo siku ambayo nilizaliwa huko kanda ya ziwa mwanza

Lakin tarehe tano ilipita maana nilikuwa shule hivyo sikuweza kabisa kutumia cm

Kwahiyo naomba mniwish leo wapendwa

LONDON BOY
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani wewe akili zako zinasuguana jambo ambalo limepeleka ubongo wako umepata kutu.

Happy Birthday sasa nenda ununue keki na maji machafu umwagiwe.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani wewe akili zako zinasuguana jambo ambalo limepeleka ubongo wako umepata kutu.

Happy Birthday sasa nenda ununue keki na maji machafu umwagiwe.
Hahahaaa mimi siyo mwanaume wa dar wa kumwagiwa maji machafu mkuu
 
Back
Top Bottom