Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa
Nazan wote mko wazima wa afya njema
Siku ya tarehe7 may ndo siku ambayo nilizaliwa huko kanda ya ziwa mwanza
Lakin tarehe tano ilipita maana nilikuwa shule hivyo sikuweza kabisa kutumia cm
Kwahiyo naomba mniwish leo wapendwa
LONDON BOY