Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

Mkuu umechelewa sana kuliona hili...ila mimi huyu jamaa sijawahi kumwelewa ni mtu wa hovyo na hajui anachofanya.

Kama Simba ingekua serious hakupaswa kua pale,,Ali kamwe ni comed sometime ila jinsi anavyoelezea club yake kwenye ishu serious hafanani na huyu mbumbu hata kidogo.
 
Hili ni Jeshi La Mtu mmoja.......

Uliza huko Utopoloni....huwa Wanajipanga mtu nne ndo Wapambane naye na Hawamuwezi....!
 
Mkuu umechelewa sana kuliona hili...ila mimi huyu jamaa sijawahi kumwelewa ni mtu wa hovyo na hajui anachofanya.

Kama Simba ingekua serious hakupaswa kua pale,,Ali kamwe ni comed sometime ila jinsi anavyoelezea club yake kwenye ishu serious hafanani na huyu mbumbu hata kidogo.
Futa basi maneno ya kubeza utu wa mwenzio siyo sifa
1. Ahmed ni msomi
2. Ni mwanataaluma wa kazi yake pale Simba fikiri hapo juzi tu Simba iliyumba Ahmed ndo alikuwa mhimili wa timu kuwafariji wachezaji na mashabiki, kusafiri huku na huku
SASA NDO UTUMIE MANENO YA
*mtu wa hovyo
* Mbumbumbu

Hapana siyo sawa kila binadamu ana hulka yake yaani presentable personality usifananishe na mtu mwingine .

Hivi mkeo akwambie wewe mbumbumbu angalia Mume wa Fulani alivyo Smart Mambo yake Hadi Raha UTAJISIKIAJE?????
 
Jaribu Kufikiria hapa Simba Sio Bingwa Lkn anawapelekesha Utopolo namna hii...

Je Simba ndo Ingekuwa Bingwa Utopolo ingebidi Wahamie Burundi Kwa Muda.! Dadadeeeki
Muache aendelee kuwa Msemaji!!
 
Futa basi maneno ya kubeza utu wa mwenzio siyo sifa
1. Ahmed ni msomi
2. Ni mwanataaluma wa kazi yake pale Simba fikiri hapo juzi tu Simba iliyumba Ahmed ndo alikuwa mhimili wa timu kuwafariji wachezaji na mashabiki, kusafiri huku na huku
SASA NDO UTUMIE MANENO YA
*mtu wa hovyo
* Mbumbumbu

Hapana siyo sawa kila binadamu ana hulka yake yaani presentable personality usifananishe na mtu mwingine .

Hivi mkeo akwambie wewe mbumbumbu angalia Mume wa Fulani alivyo Smart Mambo yake Hadi Raha UTAJISIKIAJE?????
Kumradhi nafuta hayo maneno...ila ukweli itabaki hiyo nafasi ameshindwa...Haji Manara pamoja na kua hana elimu na utani mwingi na kejeli kwa Yanga ila hakua kama Ahmed.
 
Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky?
Naunga mkono hoja, si Kwa sababu ya urafiki wetu Ila Kwa sababu ulichosema ni sahihi 💯. Msemaji ni miongoni mwa vikwazo kwenye timu. Amekuwa kama Spika anachowekewa anatoa bila kuchuja madhara.
 
Mashabiki wake wanafata anachokiropokaga but uhalisia ndio uwa unamuumbua, zilongwa mbali zitendwa mbali!
 
Naunga mkono hoja, si Kwa sababu ya urafiki wetu Ila Kwa sababu ulichosema ni sahihi 💯. Msemaji ni miongoni mwa vikwazo kwenye timu. Amekuwa kama Spika anachowekewa anatoa bila kuchuja madhara.
Leo sasa ndio nimeelewa kwanini hua wanamuita kispika! Nilikua najiuliza sana, Asante Mkuu! Am grateful
 
Yes ni eneo linahitaji marekebisho....taste tofauti inahitajika
 
Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky?
Kwani zile siku ulizompa Mwenyekiti wako kujiuzulu zimeshapita, au bado! Ungemalizana naye kwanza huyo, kabla ya kuhamia kwa Meneja Habari wako.
 
Ahmed Ally kafanya vizuri kuliko watendaji wengi wa simba.
Imagine timu inafanya vibaya na bado club inahitaji gate collections alafu vuta picha haiba ya mashabiki wa TZ wanavyopenda kutaniana. Hapo lazima Ahmed anyumbulike kwendana na uhalisia wa mashabiki.
Msimu ujao Timu ikifanya vizuri ndo mtaona ufanisi wake
 
Simba haikupata matokeo mazuri uwanjani. Mtamlaum tu msemaji.

Katika kuhangaika kuitetea Simba mbovu ndio inabidi wakati mwingine kutia ukomedi na uongo na kweli wa maneno.

Manara mnamuona mtamu kwa vile ubongo wenu unakumbuka kipindi Cha pili Cha Manara wkt Simba ina mafanikio,hamkumbuki wkt Manara yupo Simba miaka ya 2016 wkt Mo hajaingia.
 
Back
Top Bottom