Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

Sema maneno yake mengi ,huhamasisha zaidi upande wa pili kuliko simba yenyewe,hajui kucheza na pschology,Kumbuka mechi ya Prisons alivyomuongelea Samson Mbangula na kilichotokea uwanjani.
Hilo lilisababushwa na wachezaji wetu wapumbavu waliolipwa na utopolo kuikomoa timu ili msimu ukianza wao wasajiliwe yanga.
 
Timu ikiwa haiperform Kila mfanyakazi wa club anaonekana boya tu ni kawaida 😂 😂 😂
 
Una maoni mazuri sema Makolo wenzako wanakudharau sana na wasipokusikiliza na kwa hili watateseka sana msimu ujao.
 
Hilo lilisababushwa na wachezaji wetu wapumbavu waliolipwa na utopolo kuikomoa timu ili msimu ukianza wao wasajiliwe yanga.
FB_IMG_1715798110077.jpg
 
Kwani majukumu yake ni yapi na yapi? Ili tujue ni wapi kuna tatizo.

NB
Ahmed ndiye mtu pekee anayefanya kazi kubwa kuliko mtu yeyote yule pale Simba.

Sijajua jicho lako limelenga kwenye angle ipi?
 
Back
Top Bottom