C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Jun 23, 2024 #21 shonkoso said: Sema maneno yake mengi ,huhamasisha zaidi upande wa pili kuliko simba yenyewe,hajui kucheza na pschology,Kumbuka mechi ya Prisons alivyomuongelea Samson Mbangula na kilichotokea uwanjani. Click to expand... Hilo lilisababushwa na wachezaji wetu wapumbavu waliolipwa na utopolo kuikomoa timu ili msimu ukianza wao wasajiliwe yanga.
shonkoso said: Sema maneno yake mengi ,huhamasisha zaidi upande wa pili kuliko simba yenyewe,hajui kucheza na pschology,Kumbuka mechi ya Prisons alivyomuongelea Samson Mbangula na kilichotokea uwanjani. Click to expand... Hilo lilisababushwa na wachezaji wetu wapumbavu waliolipwa na utopolo kuikomoa timu ili msimu ukianza wao wasajiliwe yanga.
lord atkin JF-Expert Member Joined Sep 30, 2018 Posts 205 Reaction score 769 Jun 23, 2024 #22 Timu ikiwa haiperform Kila mfanyakazi wa club anaonekana boya tu ni kawaida π π π
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Jun 23, 2024 #23 Takataka.....thread ... Hilo ndo semaji Sasa ...
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Jun 23, 2024 #24 GENTAMYCINE said: Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky? Click to expand... Ahmed Ally anatosha. Kwanza ni msomi na mzoefu wa mambo ya habari.
GENTAMYCINE said: Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky? Click to expand... Ahmed Ally anatosha. Kwanza ni msomi na mzoefu wa mambo ya habari.
KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Jun 23, 2024 #25 Una maoni mazuri sema Makolo wenzako wanakudharau sana na wasipokusikiliza na kwa hili watateseka sana msimu ujao.
Una maoni mazuri sema Makolo wenzako wanakudharau sana na wasipokusikiliza na kwa hili watateseka sana msimu ujao.
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Jun 23, 2024 #26 Cashman said: Hilo lilisababushwa na wachezaji wetu wapumbavu waliolipwa na utopolo kuikomoa timu ili msimu ukianza wao wasajiliwe yanga. Click to expand...
Cashman said: Hilo lilisababushwa na wachezaji wetu wapumbavu waliolipwa na utopolo kuikomoa timu ili msimu ukianza wao wasajiliwe yanga. Click to expand...
FEBIANI BABUYA JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 1,916 Reaction score 3,850 Jun 23, 2024 #27 Kwani majukumu yake ni yapi na yapi? Ili tujue ni wapi kuna tatizo. NB Ahmed ndiye mtu pekee anayefanya kazi kubwa kuliko mtu yeyote yule pale Simba. Sijajua jicho lako limelenga kwenye angle ipi?
Kwani majukumu yake ni yapi na yapi? Ili tujue ni wapi kuna tatizo. NB Ahmed ndiye mtu pekee anayefanya kazi kubwa kuliko mtu yeyote yule pale Simba. Sijajua jicho lako limelenga kwenye angle ipi?