Harakati za Ben Saanane kupambana na Rais Magufuli, ni njia sahihi ya kuwaridhisha wafadhili wake?

mlioeneza propaganda za uongo dhidi ya lowasa ni nyie,hasa wewe,hata juzi tu ulikuwa unamshambulia lukuvi,najua ameshakutia adabu tayari
Kwa kawaida huwa sienezi propaganda za kipuuzi. Daima huwa naandika taarifa za kweli
 
Si lazima kile unachokiona sawa kwako kiwe sawa kwa mwingine......
Nakubaliana na wewe kabisa. Ila je unadhan Ben Saanane anaandika kwa utashi wake? Alipoondoka Dr Slaa hakika alitamani na yeye kuhama chama. Ndio maana kwa sasa harakati zake zina mwelekeo wa kujipatia ugali tu na si kujenga chama
 
Hehehe vioja hivyo
Mmeishia wapi!!
Kila kukicha matamko yakijingajinga mbona hamjafanya lolote na huyo mropokaji,
Hilo kundi la mitandaoni analijua Lowassa lilivyo mchachavya 2015
Hana hamu
saanane anawachakaza mpaka mwenyekiti wenu anatoa chozi
 
cccm imekosa suluhisho kuhusu uwezo mkubww wa kitengo cha propaganda ukawa,mwenyekiti analia,Lizaboni naye analia
 
ha ha haa mkuu...mbona nasikia kama kautafiti ka twajiweza kalipikwa?
 
Mkuu kwani huyo ben saanane ndo nani?
Ni huyu huyu wa humu jf mwenye michango na hoja za kitoto au ben mwingine...naomba kueleweshwa.
 
Poleni wapambe wa wanasiasa! Hakikisheni mnapata kakitu kidogo msijeishia maisha magumu
 
Kwahiyo wewe kinachokuuma ni hiyo 4Mil? Au kwakua wewe unalipwa 210,000/=?(7000 perday*30days)

Mwambie boss wako na wewe aongeze mpunga kidogo maisha yamekua juu sana kuanzia bundle na bill za umeme hivyo kazi ya kupost imekua ngumu.
 
Hapana Mkuu. Hiyo 4M Ben hali peke yake. Kawaajiri vijana anaowalipa kwa ujira mdogo. Wengi wapi facebook
 
Hehehe vioja hivyo
Mmeishia wapi!!
Kila kukicha matamko yakijingajinga mbona hamjafanya lolote na huyo mropokaji,
Hilo kundi la mitandaoni analijua Lowassa lilivyo mchachavya 2015
Hana hamu
Hivi wahuni wahuni kama ninyi na mafisadi wenu kina Change na Tiba nani ana muda wa kujibizana na ninyi?
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Ila je unadhan Ben Saanane anaandika kwa utashi wake? Alipoondoka Dr Slaa hakika alitamani na yeye kuhama chama. Ndio maana kwa sasa harakati zake zina mwelekeo wa kujipatia ugali tu na si kujenga chama
Kwani wewe unaandika kwa utashi wako hapa ama ni mapenzi yaliyopitiliza juu ya chama chako hadi inapelekea kuona kila kinachosemwa na wapinzani hakifai...Mfano ulipinga sana mawazo ya Mh. Mbowe aliposhauri shule ile ya Ihungo ifungwe kwa ajili ya madhara yaliyotokana na tetemeko...Ulitokwa povu sana hapa ila kwa bahati nzuri wakubwa zako wao walimuelewa Mbowe na wakafuata ushauri wake....So jaribu na wewe kutumia utashi wako utagundua namba 9 na 6 zinazomeka sawa inategemea na upande ulioko...
 
Ben ni ''kifaranga'' muda ukifika wata''mdamp'' na kupatwa aibu kama yanayomkuta Mtatiro kwa sasa.
 
Thread kama hizi ndizo zinazofanya Jf kuonekana ya Hovyo. Source ya habari yako? Ushahidi? Yan JF sasa imekuwa sehemu ya kushambulia watu binafsi bila ushahidi. Thread kama hii haina uwalali wa kukaa hapo kwa Heshima ya JF
 
Hapana Mkuu. Hiyo 4M Ben hali peke yake. Kawaajiri vijana anaowalipa kwa ujira mdogo. Wengi wapi facebook
Dah, sasa vijana wa facebook wanakupa presha? Au unafikiri KIONGOZI alipotoa ya moyoni kuhusiana na mitandao alilenga facebook?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…