Harakati za Ben Saanane kupambana na Rais Magufuli, ni njia sahihi ya kuwaridhisha wafadhili wake?

Lizabon nasikitika sana mabandiko yako siku zote ni kulalamika ama kuzusha. Kubwa ni kutokujua unalofanya nataka nikupe simple logic


Kichama ni ccm vs chadema
Vyote vinalenga kushika dola ama kuendelea kushika dola. Hivyo chama dola kinaweka watu wa propaganda ili kiendelee kuaminika na CDM kinaweka propaganda kiweze kuaminiwa na kupewa dola.

Wapiga propaganda Lizabon and 46others na CDM Saanene and others

Subject of attack mara zote ni kiongozi mkuu wa chama na serikali yaani Mh. JPM kwa ccm na Mh. Mbowe kwa CDM.

Swali kwako lizabon wewe propaganda unampigia nani? Mbona mara zote unamuattack mbowe na Lowassa? Kwa nini ukasirike mwenyekiti wako na mgombea wako wa urais 2020 akiwa attackked unalia?


Ukitupa jiwe kwenye giza.....

Lizaboni jifunze tena propaganda
 
Ni huyo huyo Mkuu. Kwa sasa anafanya kazi ya kumjenga fisadi Lowasa. Kanunuliwa
Mkuu Lizaboni kama Hutojali nielekeze zinapopatikana Ticket za MV DAR ES SALAAM.

Kumbukumbu zangu zinasema hiki safari zake zilitakiwa kuwa dar bagamoyo.

Nina vakeshen ya Bagamoyo na ningependa kwenda kwa Meli mpya kabisa aliyonunua yule bwana anayeabudiwa kuwa in msafi

Nasubiri kutoka kwako.
 
Mkuu ina maana wewe ulitaka Ben amsifie Magufuri au? Ndio nyie mnaorudisha nchi nyuma.raisi akiwa ni kusifiwa tu atabweteka,ila akikosolewa atakuwa bize na kazi (kama sasa).harafu uraisi ni taasisi kubwa so siamini kama mtu kama Ben anaweza kupambana na raisi kama unavotaka kutuaminisha.ila Ben anatimiza wajibu wake na sio kama anapambana na raisi
 
Mkuu, tofauti ya vijana wa CCM na hao mavuvuzela wa CHADEMA ni kwamba, sisi tunajenga hoja, wao wanaattack personalities. Wao hawajasoma, sisi tumeenda shule na ndio maana tunafit kila tunapowekwa

Hehehe Leo watakukoma
 
Hivi wahuni wahuni kama ninyi na mafisadi wenu kina Change na Tiba nani ana muda wa kujibizana na ninyi?
Nawe umeona swali hilo!!
Wahuni huwajui kama wanapatikana Ufipa
 
Wewe utakuwa miongoni mwa wale malaika mkuu aliomba washukie mitandao ya kijamii

Hivi na nyinyi mnamabawa kama wale malaika wa Sir God?

Nauliza tu sina itikadi
 
Kama Ben Saanane amenunuliwa na Lowassa, wewe umenunuliwa na nani?
 
Mkuu, tofauti ya vijana wa CCM na hao mavuvuzela wa CHADEMA ni kwamba, sisi tunajenga hoja, wao wanaattack personalities. Wao hawajasoma, sisi tumeenda shule na ndio maana tunafit kila tunapowekwa
haitofautiani na hao chadema.
 
Hivi zile nafasi kule Kagera hazipata watu tuu maana naona b7 wanajitutumua haswa.
 
Mkuu, tofauti ya vijana wa CCM na hao mavuvuzela wa CHADEMA ni kwamba, sisi tunajenga hoja, wao wanaattack personalities. Wao hawajasoma, sisi tumeenda shule na ndio maana tunafit kila tunapowekwa
Kwahiyo wewe kumtaja Ben Saanane ndiyo kujenga hoja? Kweli ninyi wasomi, ngoja Ben awasomeshe zaidi.
 
Ben saanane ni taka taka tuu...kamwe hatoweza kushindana na kipenzi cha watanzania...
walishindwa kumpa hata ubunge na wakamkata bila huruma kwakuwa wanajua ni mnafiki na si wakuamika.
 
Namwonea HURUMA,dogo anatumika kama naniiiii!!!!!! bana,alihangaika kipindi cha mh.ZZK ,aaendelee kutumika mwisho atatoboka toboka hatimae atatupwa shimoni na kuomba msamaha kwa ccm ili wamkubalie arudi nyumbani.
 
mbona wewe unapambana na lowassa kwa hiyo mkuki kwa nguruwe poa tu.


swissme
 
"kweli wajinga ndio waliwao"...haya msafisheni magufuli, toeni kwann kazima bunge, mikutano ya kisiasa kazuia?hali ya watu na biashara si nzuri kama zamani,kwann anaogopa sana upinzani, yeye ni nani asapotiwe na kila mtu?huyo yesu na maajabu yake yote bado watu walimpinga....hizi propaganda za kusema sijui kanunuliwa vitu na lowassa hata kama ni kweli si uende lumumba ukaombe kazi UHURU publication watakupa page hata 5 andika habari zote au na wewe waombe wakupe vitu umtetee mh
magufuli anafanya vizuri kwenye sehemu nyingine na nyingine anaboronga....nothing is 100%....
 
Mimi ni mwana CCM kindakindaki. Sijipendekezi kwa mtu. Natetea maslahi mapana ya taifa na chama
Eti natetea maslai ya taifa maslai yapi zaidi ya tumbo lako sijawai kukuona umeleta uzi kupinga ufisadi wowote lugumi ulikimbia escrow ulikaa kimya Na bado upo kimya ufisadi Wa mapunda uvccm ulikaa kimya japo chama chako umewahi kutetea maslai yapi ya nchi zaidi ya kutumika kuchafua watu wewe na kusifia kila kitu
 
Apambane nae kwa lipi aache kupambana na tabu ya umasikini wa tanzania aanze kupambana na huyo mtoto mdogo wa nini
 
Hapo ni kama umnasemea chooni. Kama mnge kuwa na hoja msingezima bunge live, msingetunga sheria ya mtandao, msingepiga marufuku mikutano ya siasa, msingeleta sheria ya statics, msingeteua wanasiasa kwenye nafasi za utendaji zisizo husu siasa, msingeleta sheria za habari mlizoleta, msingemsaidia kwa kutumia polisi lipumba. Kifupi hamna hoja wala hamna hoja. Kam mnasema hao wapinzani wanatumia hotuba za mkuu kupata cha kusema si mrekebishe utaratibu wa anasema nini? badala ya kuacha aseme na nyinyi mpate kazi ya kufafanua au kuteteta hum JF. Wakati mwingine nachefuka kusikia watu wa namna hii wamesoma.
 
Kama Ben kaajiliwa na Lowassa na wewe umeajiriwa na nani kwa kazi ya kumshambulia Ben na unalipwa shilingi ngapi kwa kazi ya kumtukuza Magufuli?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…