Harakati za Ben Saanane kupambana na Rais Magufuli, ni njia sahihi ya kuwaridhisha wafadhili wake?

We unatetea nini? Naona pia bado tunaendeleza uzi ule ule kwamba tujibizane kwa hoja za kitotto.

Hivi kweli kunayo haja ya kuyaeleza haya hapa?
Aisee ugali mwingine ni kama kulazimishwa kula kaa la moto
 
kinakushangaza nini wakati JK alisema ccm ina kundi la vijana 46 mitandaoni,watu 46,mnapigwa na mtu mmoja,ben saanane
Halafu amejaribu kutumia jina kubwa la BEN SAANANE ili kupata airtime , hakuna chochote cha maana alichoandika hapa .

Nimejua kwanini wenzake wanateuliwa yeye anaendelea kupuyanga humu jf , ana uwezo mdogo sana , halafu hakubaliki , utakumbuka kwamba alikuja na ngonjera ya Luhwavi ?
 

Hoja za Ben ni zipi na ni kwa kiasi gani ni za uongo?

Ukweli ni upi sasa badala yake ili uli replace uongo wa Ben?

Na nimejiuliza sana kuhusu hili, kwamba, Ben kanunuliwa sijui nini na nini na Edward Lowassa na pia analipwa TZS 4,000,000 kwa mwezi ili afanye vyema kazi yake ya "kumchafua" Rais John Magufuli.

Sasa, what is your problem with that? Wewe yanakuhusu nini hayo makubaliano ya watu wawili? Je, unamuonea wivu kwa sbb analipwa milioni 4 na kanunuliwa hivyo vitu?

Na, kama "Rais Mtukufu " anachafuliwa si kazi yenu kuhakikisha mnamsafisha kwa omo na kumpaka manukato ili anukie?

Hebu CCM acheni kulalamika kijinga jinga hivi wakati mna nyenzo zote za kuhakikisha Rais wenu hachafuliwi!!

Na nikukumbushe tu kuwa kuchafuliwa is not a big deal at all. Ishu na tatizo ni kutukana. Na kama anatukanwa na Ben kwa maana ya sifa ya kutukana kwelikweli, tunazo sheria zetu na kwa hiyo tuache zichukue mkondo wake!!

Vinginevyo ni hivi:

Rais Magufuli anajenga mazingira ya kukosolewa yeye mwenyewe kwa kauli na matendo yake ambapo kwa tafsiri yako hapa ni "kuchafuliwa".

Na kumbuka tu kuwa, kazi ya vyama vilivyo nje ya serikali (vya upinzani) ni kutafuta makosa na udhaifu wa chama na viongozi wake walioshika hatamu za uongozi wa serikali na kuyasema. Ni kazi ya wanaokosolewa kujitetea na kusema ukweli na kuonesha uhalisia wa wanachofanya!!

Usitegemee ulete ndege za mapanga boi, uambiwe "that's very good" na badala yake utaambiwa "that's nothing" tunataka kuona unaleta Airbus 380 au Boieng 787 nk nk. Pia tutakuambia kuna ufisadi katika mchakato wa manunuzi kwa sbb sheria ya manunuzi haikufuatwa!!

Sasa kama huko ni kuchafuliwa, ategemee kuchafuliwa sana na hadi ifikapo mwaka 2020 mwili mzima utakuwa umetapakaa matope tu!!

Zingatieni hilo na mshaurini kuhusu hayo basi!!

Halafu unajua nini Lizaboni?

Very unfortunately, Rais wenu kajifungia mlango mwenyewe wa kujitangazia "usafi wake" kwa kujipa mamlaka yasiyo yake kwa kuvunja katiba kwa kupiga marufuku mikutano ya kisiasa nchi nzima kwa kigezo cha eti apate muda wa kuwaletea watu maendeleo!!....

It sounds pathetic, au siyo bibie!!??

Hakutambua kuwa kwa kufanya vile kajifungia mlango yeye mwenyewe na chama chake cha siasa a.k.a CCM huku akidhani kawafungia wapinzani wake!!

Kwa sbb unaonaje serikali ingeendelea na majukumu yake kama serikali na wakati huohuo CCM kikichanja mbuga kueneza mazuri ya serikali hata kama upande wa pili (upinzani) nao ukiwa unachanja mbuga kuziponda zile "bombadia mapanga shaa?"

Yes, si mwisho wa siku waamuzi wa hayo yote ni wananchi bhana? Ni wazi hawa ndiyo walio ktk position nzuri ya kumtambua mwongo ni nani na mkweli ni yupi!!

Lakini CCM na serikali inayoiongoza ni waoga kweli kweli kuingia ktk uwanja wa mapambano, mkiambiwa hayo mnayofanya siyo, mnaitwa watu wachochezi na wanao mchafua Rais, kumbe maskini nguruwe mwenyewe ndiye kachomeka kichwa kwenye tope!!
 
Lizaboni yaani wewe una mawazo finyu mno mbona umeongea pumba tupu hivi huoni JPM anavyofeli? Msaidieni kuanzisha viwanda huku akiua sekta ya kilimo
Amefeli katika hoja zipi? Unafikiri kuanzisha viwanda ni kama kupanda ndege kwenda Dubai?
 
Ni lini Ben Saanane limekuwa jina kubwa? Nakumbuka tulivyokuwa tunapambana na akina Dr Slaa, John Mnyika na wengineo. Beni Saanane hakuwa miongoni mwao.
 
Amefeli katika hoja zipi? Unafikiri kuanzisha viwanda ni kama kupanda ndege kwenda Dubai?
Hivyo viwanda vitatoa wapi mali ghafi? Kama zitatoka nje hivyo viwanda vitakuwa na faida gani kwa wananchi maskini wa kule vijijini?
 
Ni lini Ben Saanane limekuwa jina kubwa? Nakumbuka tulivyokuwa tunapambana na akina Dr Slaa, John Mnyika na wengineo. Beni Saanane hakuwa miongoni mwao.
Sasa hofu yako ya kumtaja mwanzo wa uzushi wako hadi nukta ya mwisho ni nini ? Huyu ni kiongozi wa Chadema Makao Makuu , wewe ni nani Lumumba ?
 
Angalia usimponze Invisible kutakiwa kutoa maelezo kule mahali! .
Pasco
 
Lizaboni Ben ni debe tupu...Rais wangu asipoteze muda nao hao atuachie sisi humu humu tuwaelimisha kama tuliivyomsaidia yeye mweyewe Ben humu ndani ya Jukwaa dhidi ya Zitto, tukijua Ben ni kijana mwenye mwelekeo wa Mfia Nchi kumbe ni njaa tumbo.Tulimpigania sana humu pamoja na sie wengine kuwa na itikadi tofauti nae lakini tulimpigania tukijua tunampigania Mzalendo [Comrade] mpigania Taifa lake, tunae tofautiana milango kumbe zilikuwa Njaa tu.

Hivi kweli kuna Mzalendo [Comrade] yoyote anaweza kuuliza [Question ?] jitihada za DK Magufuli dhidi ya kuliludisha Taifa kwenye Mstari toka kwenye ramani ya miaka ya 1990 iliyopotea.Basi huyo si Comrade huyo ni ADUI.

Kama tulivyomtoa kidedea kwenye hoja ya Zitto kwa kumuona ni kijana mwenye mwelekeo wa kujenga Taifa lake kumbe ilikua GEAR ya njaa ya tumbo...Tutampa za Chemba humu humu na atakaa, ata kama moderators humu watamsaidia lakini ........taratibuuu...UKUTA ataushika.
 
Mbowe ni ccm damu.<br /><br />Kama unabisha subiri 2020 ataazima tena mgombea urais kutoka ccm. Ataangalia fisadi ambaye anashambuliwa na bavicha alafu ndio anamteua ili bavichaaa hao hao wamsafishe.
 
Japo huna lolote, ila hata kufikiri kidogo huwez?...eti Lowasa na Saanane wamekubaliana, kama kweli umejuaje hayo?...hayo mambo ya vimada, kulikoni mkuu.
 
Ben mtembea na sumu mfukoni mbona anajulikana tangu siku nyingi ni mchumia tumbo?
 
Beni saa nne sijui saa saba ni kibaraka tu huyo. Amepoteza mwelekeo
 
Bensanane na Yericko Nyerere ni vibaraka wa CHADEMA. Kuna kibaraka mwingine anajiita Mwananchi Huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…