njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Aiseee huyu kijana kama hawajampa kitengo wampe tu hapo utopoloni kwa kweli, kajivika mabomu haswa na kaingia vitani kwelikweli
Hiyo harusi nitashangaa kama hawatachangia atleast millions 50 he deserves it...hapo ukimuuliza kwamba ilikuwaje senzo akaweka booking ya kambi uturuki last month ilihali akijua kuna yanga day, kuna mechi ya stars bado atakuambia kambi ya nje siyo lazima na kamwe hatazungumzia uzembe uliofanyika unaosababisha hasara ya kulipa millions 200 kwa waturuki
Makanjanja haya ni bora ya spend siku nzima redion kuongelea logo ya m-bet juu ya logo ya sportspesa au kwa nini simba haijaenda marekani kama Mo alivyoahidi wala siyo uzembe uliotokea kuhusu kambi ya uturuki na tishio la kushtakiwa na ile sport agency.