Maisha ni story tamu na chungu, nakumbuka nyuma huko tunapiga story na washkaji kwamba miaka flani mbele tutakua na familia, furaha, kazi/biashara na vyote vizuri.
Salalee sasaivi tunaemea pakuche kesho itakua kheri, si kama hatukusoma wala si kwamba hatujaweka bidii kwenye kutafuta ila bwana tumejua maisha hayana formula.
Kuna kipindi tulitamani tungezaliwa nyumba ambazo zingeweza kusupport ndoto zetu au majina yetu yangekua ya status au kujuana.
Sasa tumefika umri wazazi wanatuangalia hata tupush matumizi nyumbani au tuweze kuwalipia hospitali. Na hatujaweza bado hata kwa asimia 10 tuu.
Leo tumeamua tena kwamba haijaisha mpaka iishe, neema ya Mungu yatosha. Tunaangalia mbele siku yetu itafika Mungu atatuona mimi na wana.