We ndio mfadhiri kwani...?Hiyo CV yake sijaielewa, kufundisha nje ya bara la Afrika tena vitimu vidogo hakutoshi kumfanya apewe timu ya Simba SC
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mkuu, Southampton ni timu ndogo?Hiyo CV yake sijaielewa, kufundisha nje ya bara la Afrika tena vitimu vidogo hakutoshi kumfanya apewe timu ya Simba SC
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sasa wewe nae unaleta habari za enzi ya Mwalimu saa hizi kweli?Hii hapa mlimpa GAMONDIWIZARD?View attachment 2819825
He worked there as a player and not a managerMkuu, Southampton ni timu ndogo?
Kiufupi hiyo CV yake Simba ndio timu ndogo, mnaenda kuharibu CV ya jamaa.
Huna jipyaSasa wewe nae unaleta habari za enzi ya Mwalimu saa hizi kweli?
Haya, ni wachezaji gani waliokuwa kwenye hicho kikosi ambao bado wanachezea hapo Simba leo hii? Ili tumwambie Gamondi awatazame kwa umakini.
Hii ni tofauti na sisi, kikosi cha moto na ari iko juu.
Mpeni onyo mapema asijepokea kipigo akafurushwa kama mwenzie.
Nina mashaka na team ya scouting, huenda kigezo kwao ni vyeti...Hiyo CV yake sijaielewa, kufundisha nje ya bara la Afrika tena vitimu vidogo hakutoshi kumfanya apewe timu ya Simba SC
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Achana nao malimbukeni...Hii hapa mlimpa GAMONDIWIZARD?View attachment 2819825
Nje ya mada.Hivi hawa wanaojinasibu tutachezea kichapo...kichapo gani kile cha kichawi??? Mburaaaa...yani kujitoa akili kumfunga Simba mpk leo mnaweweseka hamuamini macho yenu...kipigo kipigo...tena cha kumwaga mimaji ya maiti uwanjani...msyuuuuu hebu mtupishe...
Kama kuna timu haijawahi kuchezea kichapo ktk kwa mnyama ndo iandike humu....
Maajabu haya ya vibonde vya Ihefu..
Calm down mtani.Hivi hawa wanaojinasibu tutachezea kichapo...kichapo gani kile cha kichawi??? Mburaaaa...yani kujitoa akili kumfunga Simba mpk leo mnaweweseka hamuamini macho yenu...kipigo kipigo...tena cha kumwaga mimaji ya maiti uwanjani...msyuuuuu hebu mtupishe...
Kama kuna timu haijawahi kuchezea kichapo ktk kwa mnyama ndo iandike humu....
Maajabu haya ya vibonde vya Ihefu..
Ambaye anajijua hajawahi kumpigwa tano5 na mnyama anyooshe kidole juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hawa wanaojinasibu tutachezea kichapo...kichapo gani kile cha kichawi??? Mburaaaa...yani kujitoa akili kumfunga Simba mpk leo mnaweweseka hamuamini macho yenu...kipigo kipigo...tena cha kumwaga mimaji ya maiti uwanjani...msyuuuuu hebu mtupishe...
Kama kuna timu haijawahi kuchezea kichapo ktk kwa mnyama ndo iandike humu....
Maajabu haya ya vibonde vya Ihefu..
sasa kama wameshindwa kumlipa benchika mil 260,000 watamuweza huyo jaidiDuuuh! kama kafundisha hadi Southampton,basi Simba watakua wamejitahidi wakimleta,lakini ajue Gamond yupo.... aje kwa tahadhari.