Harakati za kocha mpya simba sc

Harakati za kocha mpya simba sc

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Just been told:

Simba SC have officially opened talks with Tunisian gaffer Radhi Jaïdi (48) to take over as the club’s new head coach. [emoji599][emoji1249]

Jaïdi previously worked at Southampton, Hartford Athletic, Cercle Brugge and ES Tunis.

It’s over for Benchikha and Pablo Franco Martin but Sven Vandenbroeck is still considered as the last option.

Simba’s plan is to have a permanent head coach on the bench before facing ASEC Mimosas in the CAF Champions League.

#AfricanFootball
#NguvuMoja [emoji881]
mickyjnrofficial-20231120-0001.jpg
 
Duuuh! kama kafundisha hadi Southampton,basi Simba watakua wamejitahidi wakimleta,lakini ajue Gamond yupo.... aje kwa tahadhari.
 
Hii hapa mlimpa GAMONDIWIZARD?View attachment 2819825
Sasa wewe nae unaleta habari za enzi ya Mwalimu saa hizi kweli?

Haya, ni wachezaji gani waliokuwa kwenye hicho kikosi ambao bado wanachezea hapo Simba leo hii? Ili tumwambie Gamondi awatazame kwa umakini.

Hii ni tofauti na sisi, kikosi cha moto na ari iko juu.
Mpeni onyo mapema asijepokea kipigo akafurushwa kama mwenzie.
 
Huna jipya
 
Hivi hawa wanaojinasibu tutachezea kichapo...kichapo gani kile cha kichawi??? Mburaaaa...yani kujitoa akili kumfunga Simba mpk leo mnaweweseka hamuamini macho yenu...kipigo kipigo...tena cha kumwaga mimaji ya maiti uwanjani...msyuuuuu hebu mtupishe...
Kama kuna timu haijawahi kuchezea kichapo ktk kwa mnyama ndo iandike humu....
Maajabu haya ya vibonde vya Ihefu..
 
Nje ya mada.
Sister ulishawahi kuishi kule kwa kina Urassa ? naona lafudhi yako kama ya kina Mrema.
 
Hivi hawa wanaojinasibu tutachezea kichapo...kichapo gani kile cha kichawi??? Mburaaaa...yani kujitoa akili kumfunga Simba mpk leo mnaweweseka hamuamini macho yenu...kipigo kipigo...tena cha kumwaga mimaji ya maiti uwanjani...msyuuuuu hebu mtupishe...
Kama kuna timu haijawahi kuchezea kichapo ktk kwa mnyama ndo iandike humu....
Maajabu haya ya vibonde vya Ihefu..
Calm down mtani.
 
Ambaye anajijua hajawahi kumpigwa tano5 na mnyama anyooshe kidole juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mgunda anashida gani ila viongozi wanashida.
 
Back
Top Bottom