Harakati za kuacha Umalaya Zilivyogonga mwamba baada ya ndoa

🀣🀣🀣
 
Wewe hata ukioa Mia huwezi tulia huna self control mwache mkeo usije mua na ngoma na kumwambukiza mikosi ya umalaya
 
Naona hujaongelea jinsi umalaya unavyoupukutisha uchumi wako sijui kwa nini
 
Umefunguka ukweli wako.... Natamani kufunguka ila dah!!
God forbid[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Kukunja hela na kumshikisha wakati wa kupeana Amani haiwezekani kwa sababu baada ya kumaliza kwako atamoa mkono mtu mwingine..labda kama ungesema ulimvizia nje ndo ukampa namba ila hii umetupiga fix ya wazi
Mkuu mbona unaishi kwa kukalili
 
...wapi sheria ya uislamu inaruhusu mke wa kwanza kupinga ndoa ya mke wa pili...?
labda Hana elimu yakutosha......Kama aanataka kuja kwenye usilamu kwa Nia ya kuoa wake watatu... Itakuwa Ni hasara tu
 
We jiendekeze tu, mbona mavi yakikushika barabarani unajibana?
 
Kuna wanafiki hapa wanakuona ka mjinga hivi! Kiukweli, hakuna mwanaume aliyekamilika akatoshewa na mwanamke mmoja. Hakuna! Mwanamke anayekupinga mnyamazie tu ila ukweli upo hivyo.
 
πŸ˜‚ Naomba nisitie neno ila ndugu unazidi kutupotezea kuaminika kwetu mbele ya hawa viumbe! Unatuharibia sana!.. nashauri upigwe ban.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna wanafiki hapa wanakuona ka mjinga hivi! Kiukweli, hakuna mwanaume aliyekamilika akatoshewa na mwanamke mmoja. Hakuna! Mwanamke anayekupinga mnyamazie tu ila ukweli upo hivyo.
Binadam wengi wanaishi kwa unafiki! Hawajui kutofautisha ushauri na madongo
 
Hata uoe 100, kwa jinsi akili yako inavyoendekeza uchi mpya, haitasaidia.
 
ni sawa na Mtu aliyepoteza funguo wa mlango!
ambapo hutumia chochote anachokiona kinafaa kufungua mlango hukichomeka!
na kinachofungua kwa urahisi anakiona Cha maana Sana hata Kama ni kijiti!
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Pole sana mkuu ilo yawezekana ni pepo linakusumbua jitaidi kufunga na kuomba uwe karibu na mungu itakusaidia
 
Kukunja hela na kumshikisha wakati wa kupeana Amani haiwezekani kwa sababu baada ya kumaliza kwako atamoa mkono mtu mwingine..labda kama ungesema ulimvizia nje ndo ukampa namba ila hii umetupiga fix ya wazi
Kumpa hela umeona haiwezekani kwa kuwa atampa mkono mtu mwingine lakini umefikiri pia uwezekano wa jamaa kuwa mtu wa mtu wa mwisho kumpa mkono wakati wa kutakiana amani?!

Tuache Linear Thinking.
Tujenge uwezo wa kufikiri huku tukiacha nafasi kwa fikara nyingine.
 
Hizo ni fikra ndogo sana na ambazo kiuhalisia haziwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…