Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Umebakiza miaka mingapi kufikisha 100?Asante mtaalamu wa afya
Muhimu kubadili mwenendo mapemaUshua mwingi huwa unaleta uzee wa haraka.
Huo ndio mwili mzuri, pambana usipate magonjwa yasiyotibikadah kama mimi toka nizaliwe sijawahi kuwa na mwili yaani kembamba natamani hata kidogo nipewe kilo kdg ninfeel vile inakuwa maana siwezi kusema unene mbaya wakati sijawahi kuwa mnene
Anajua mwajiri wangu na ndugu zangu na mke wangu.Umebakiza miaka mingapi kufikisha 100?
Mkuu nenda Japan na Nchi nyingi za Wazungu vyakula vyao vingi ni procced na viko kwenye fridge na mafrizer na wao ndo waongoza kwa Takwimu za kuishi muda mrefu.Kuishi miaka mingi ni utajiri tosha kwa mwanadamu, kuliko yule aliyekuwa na utajiri mkubwa na kabla ya kufikisha miaka 70 akakata moto.
Wapo wanaosema, ili kufikisha miaka mingi inakulazimu kila unapopiga hatua fulani za kimaisha, jitahidi kuishi maisha ya kipato cha chini, kuanzia ulaji, mazoezi, kujichanganya na jamii n.k ili kulinda afya ya mwili wako.
Kuliko kwenye friji kujaza nyama na vyakula vya makopo, ni bora uweke matembele, mgagani, mchicha n.k
Mwili ukishaanza kuwa mzito, mashavu kujaa, kitambi kuongezeka, miguu kujaa, makalio au mapaja kunenepa, mwanaume kuishi kama mwanamke n.k ni ishara za awali za kutokufikisha miaka 100.
Ni muhimu kubadili mwenendo wa maisha, ili kuishi miaka mingi.
Ni kweli mkuu,hata kuku zao ni haya mabroiler tunayojifanya tunayakwepa kwepa!...Mkuu nenda Japan na Nchi nyingi za Wazungu vyakula vyao vingi ni procced na viko kwenye fridge na mafrizer na wao ndo waongoza kwa Takwimu za kuishi muda mrefu.
Mojawapo ya vyanzo vya magonjwa ya saratani na mengineyo, ni vyakula vya kusindika.Mkuu nenda Japan na Nchi nyingi za Wazungu vyakula vyao vingi ni procced na viko kwenye fridge na mafrizer na wao ndo waongoza kwa Takwimu za kuishi muda mrefu.
“Ningeweza kuishi milele ningebakia mstari wa mbele ,omba pepo siyo unakesha kuomba uzima wa milele ,duniani nimeona mambo mengi lakini jicho halijafika kilele ,siwaahidi kuishi miaka 100 kama alivyoahidi hayati Nyerere” – Kalapina Nabii KokoKuishi miaka mingi ni utajiri tosha kwa mwanadamu, kuliko yule aliyekuwa na utajiri mkubwa na kabla ya kufikisha miaka 70 akakata moto.
Wapo wanaosema, ili kufikisha miaka mingi inakulazimu kila unapopiga hatua fulani za kimaisha, jitahidi kuishi maisha ya kipato cha chini, kuanzia ulaji, mazoezi, kujichanganya na jamii n.k ili kulinda afya ya mwili wako.
Kuliko kwenye friji kujaza nyama na vyakula vya makopo, ni bora uweke matembele, mgagani, mchicha n.k
Mwili ukishaanza kuwa mzito, mashavu kujaa, kitambi kuongezeka, miguu kujaa, makalio au mapaja kunenepa, mwanaume kuishi kama mwanamke n.k ni ishara za awali za kutokufikisha miaka 100.
Ni muhimu kubadili mwenendo wa maisha, ili kuishi miaka mingi.
Changamoto hapa ni kemikali zinazotumika kwenye makuzi, inawezekana huko kwao wanatumia kemikali zisizokuwa na madhara ukiringanisha na huku kwetu.Ni kweli mkuu,hata kuku zao ni haya mabroiler tunayojifanya tunayakwepa kwepa!...
Umebakiza miaka mingapi kufikisha 100?Sawa Nesi
Umebakiza mingapi kufika 100?Tule bia ufike 100 wewe ni wa mbegu hapa duniani
60Umebakiza mingapi kufika 100?