Harakati za kuidai 'CHADEMA Asilia' zitaanza tarehe 26 baada ya matokeo!

Harakati za kuidai 'CHADEMA Asilia' zitaanza tarehe 26 baada ya matokeo!

Itikad pemben ila mchuano mkali ccm mmepoteza na Ukawa wamepoteza hvohvo so hamjashinda ule ushind wenu wa asilmia 99. Ila Mbowe kwa kumtumia Lowassa ameweza kufikisha ujumbe na sera zao kwa watu weng zaid,ameweza kupata wanachama weng zaid na Chama kimekua na kupata umaarufu zaid sshv Chadema na CCM ni vyma vikuu vya siasa! Hili vuguvugu la Mabadiliko haliish leo kama Maalim kachukua huko na CCM bara ijiandae haswa!!! Lowassa na hali yake ya afya kua sio nzuri kama Magufuli ila ameweza kuwavuta watu wengi ni misukosuko iliyomkuta kajitahd sana jaman mnyonge mnyongeni sifa yake mpeni!!! Slaa na Lipumba ni wazuri ila nyota ya urais hawana hata kidg..Slaa na Magufuli angenaguka vibaya mnoo! Lowassa kajitahd sana na kama asiposhinda c kwa sababu ya ufisad ni Ugonjwa wake hyu mtu angekua mzima na uwezo wa kupiga kampen kama Magufuli CCM msingeinuka mwaka huu na huo ndo ukweli ila so far CDM imekua kisiasa kuna tofauti kubwa ya chadema mwezi wa tano na leo hii Oct 26.
 
Mrejesheni kwanza Juma Duni Haji CUF,maana hakuna jipya.
Wenzio huku wameachwa gepu kubwaaaa,mpaka kiwewe.

Hurua NCCR na CUF kwa upande wa BARA,Ukawa imewaingiza choo sicho
 
Baada ya Mbowe kukataa mipango ya Dr Slaa na kuchukua hatua za mcheza kamari wa kisiasa sasa ni wazi wanachadema asilia wataanza kuidai chadema yao iliyotekwa na mafisadi.

Harakati hizi zitaanza tarehe 26/10/2015 na kuendelea.

Harakati zimeshaanza kwani biashara imeshakwisha
 
Hiki kimuhemuhe kinaendelea...vicent nyerere ameshindwa vipi?

Kigaila naye?
 
CHADEMA inakwenda kupata kipigo kitakatifu leo kuanzia kwenye ubunge mpaka urais kutokana na maamuzi ya kipuuzi ya kumpokea lowassa kwa papara. Inatuumiza sana tuliotaka mabadiliko ya kweli kwani safari ya mabadiliko imerefushwa!
Imekufa rasmi
 
Chadema tuliyokuwa tunaijua ilikuwa ile ya kina Dr Slaa, zito, lisu, msigwa, mdee, Mnyika. Makamanda wenyewe OG.

Hii ya Makamanda kina lowasa na wenzie mafisad toka ccm Hata haielewek eleweki. Ni chadema feki.
ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom