HARAKATI ZA KUUKIMBIA UMASIKINI

HARAKATI ZA KUUKIMBIA UMASIKINI

Wang chung

Member
Joined
Oct 26, 2024
Posts
26
Reaction score
36
kitabu hiki kinaeleza mambo yafuatayo
1.ni jinsi gani masikini wanaweza kuukimbia umasikini kwa kuchukua hatua madhubuti .
2.kinafundisha nidhamu na kanuni za pesa kiundani.
3.kinafundisha jinsi ya kutambua fursa, kufanya uchunguzi na kunitumia fursa vizuri.
Kinapatikana kwa muundo wa soft copy tu kwa tsh 1000/=
Whatsapp:0763863650
Email: rizikisanga77@gmail.com

Screenshot_20250312-135817_5.jpg
 
Huyo kwenye cover ndio muandishi?

Mbona amekaa kifukara kama mimi tu. Au ndio mganga hajigangi??
 
Buku tu inawafanya watu wanaongea shombo hivi haki nimeamini jf inawatu maskini sana dogo em nipe utaratibu wa kununua hicho kitabu nikuunge mkono
 
Someni kitabu kwanza,mapungufu baadae na sio lazima mapungufu,Ndipo tunaposhindwa watanzania,hatuoendi kusoma vitabu!
 
Unapataje mda wa ziada mkuu..
Pambana pambana hiyo kazi uliyo nayo.una uhakika utamiliki nyumba..?
Muache atimize ndoto zake kama aimbani kwanini unamlazimisha aachane nayo vp kama anaandika usiku muda ambao tayari hana majukumu
 
Back
Top Bottom