Harakati za kwenda wizara ya elimu zaweza kuzaa matunda juu ya hatma ya tuliokosa mkopo 2013/2014

mkisyeli

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
260
Reaction score
76
pongezi za dhati ziwaendee wanaharakati wote waliojitolea leo kwenda wizara ya elimu na ufundi ili kutetea na kujua nini hatma ya elimu yao pamoja na mikopo
Pili niwashukuru waandishi wa habari waliojitokeza kuja kufuatilia kiundani juu ya suala hii especially CHANNEL TEN &TANZANIA DAIMA kwa kuweza kutusikiliza na pia kuzungumza na wahusika kuhusu suala hili na kwa taarifa zaidi usikose habari ya leo channel ten saa moja usiku na pia nakala yako kesho gazeti la tanzania daima..
Tatu niwashukuru wakurugenzi wa wizara ya elimu kitengo cha mikopo ambayo imehaidi kushughulikia suala hili na kuomba tuwape siku mbili alafu watatujibu kuhusu matatizo yetu na kutusii sana tusiandamane ila kauli ni moja tu wakitaka tusiandamane baas tupewe mkopo...
Uonevu sasa basiiii
 
Kiongozi asante sana kwa taarifa na tuko pamoja sana
 
Kumbe inawezekana.!!!. Nimewakubali sana wakuu.. Alhamis nitakua town hapo kuongeza nguvu. Mpaka kieleweke
 
Serikali imeanza kuvuna matunda ya JKT sasa. Vijana hawajaingia wanafuatilia hivi haki zao. Sipati picha wakiingia chuo wakakutana na mob psychology itakuaje. Siku vijana hawa waliopita JKT wakiandamana, serikali itajutia uamuzi iliouchukua.
 
Sizani kama HESLB inaweza kufanya kazi bila consultation na wizara ya elimu! Ngoja tusubili labda kutakuwa na jipya kutota wizarani!! Hongeren wanaharakati
 
Last edited by a moderator:
Good work vijana maana hawa ndugu wamezid uonevu et mtu unachukua bacherol of science in education with biology na ni yatima afu unakosa mkopo,huu c uonevu huu!
 
Good work vijana maana hawa ndugu wamezid uonevu et mtu unachukua bacherol of science in education with biology na ni yatima afu unakosa mkopo,huu c uonevu huu!

Mkuu upo ryt sanaa yaan dah had huruma yaan
 
Hongereni ila hawa wizara na bodi ni watoto wa baba na mama moja
 
Wazo: munaonaje Ijumaa hiyo mukienda mob ya watu wengi mukiwa na one aim and one goal atleast hi italeta impact
 
Wazo: munaonaje Ijumaa hiyo mukienda mob ya watu wengi mukiwa na one aim and one goal atleast hi italeta impact

pia huo ni ushauri wa maana sana,mimi pia napanda pipa alhamisi so midamida nitakuwa dsm kwaajili yakuongeza nguvu na kutia hamasa kwa wadau,ila sio yatima tuu na wajane wanao itaji mkopo pia kama couse ni priority lazima tupewe kama tcu gaideline inavyo elekeza au mnasemaje wadau???
 

Yaap hilo la msing yaan so be thea saa mbili asubuhi tuanze harakat mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…