mkisyeli
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 260
- 76
pongezi za dhati ziwaendee wanaharakati wote waliojitolea leo kwenda wizara ya elimu na ufundi ili kutetea na kujua nini hatma ya elimu yao pamoja na mikopo
Pili niwashukuru waandishi wa habari waliojitokeza kuja kufuatilia kiundani juu ya suala hii especially CHANNEL TEN &TANZANIA DAIMA kwa kuweza kutusikiliza na pia kuzungumza na wahusika kuhusu suala hili na kwa taarifa zaidi usikose habari ya leo channel ten saa moja usiku na pia nakala yako kesho gazeti la tanzania daima..
Tatu niwashukuru wakurugenzi wa wizara ya elimu kitengo cha mikopo ambayo imehaidi kushughulikia suala hili na kuomba tuwape siku mbili alafu watatujibu kuhusu matatizo yetu na kutusii sana tusiandamane ila kauli ni moja tu wakitaka tusiandamane baas tupewe mkopo...
Uonevu sasa basiiii