ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
nimependa sana stori
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha hizo bana kwa hiyo ndio historia isiandikwe?Muda wako ukishapita umepita
Ukisema hivyo tunajua hii forum hauijui mada zake kiasili, au zinakuwaje. Humu ukijiweka wazi kuna mada utashindwa kuchangia, na nyuma ukute ulishakanyagia serikali na wakulungwa kinoma nomaHawezi kushare hio picha humu watu hawapendi kujulikana sijui kwa nini.
Njoo ucheze nami, Njoo ucheze na mimi ShoriiHARAKATI KAMILI ZA MACK DIZZO & UGLY FACES KWENYE GAME YA BONGO FLEVA KABLA YA CHID BENZ KUITAWALA "ILALA"
kiukweli mimi kama mack dizzo ni mtoto wa ilala pure kabisa...
Harakati na mishe zangu zote nimefanyia ilala since way back in 1990s..
" kwa kifupi ilala ndio my home street " harakati zangu zote nimefanya nikitokea ama nikiwa nakaa ilala..
sisi wasanii wa zamani tulikuwa tunashiriki kwenye matamasha & corcept mbalimbali zilizoandaliwa mashuleni Enzi hizo kwenye maeneo mbalimbali kama vile jitengemee..
Kundi letu la mwanzo kabisa Enzi hizo mimi kama mack dizzo kujiunga nalo lilikuwa linaitwa " ugly faces"
Miaka ya 1996/7
Ni crew ambalo liliundwa na wasanii watatu (3) ambapo ni mimi mack dizzo, Easy dazz & rich mack ambaye kwa sasa yupo Marekani kama dj kwa sasa pamoja na Easy Dazz kwahiyo kibongo bongo nikawa nimebaki mimi.
Ndipo nikafanya maamuzi na nikaanza kufight kwenye Game ya Bongo fleva nikiwa kama solo Artist nje ya crew ..
Shindano la C.b.m ambapo kirefu chake ni " check Bob maarifa" shindano ambalo liliandaliwa na Designer mmoja hivi ..
Katika competition hiyo mimi nilikuwa kama mshindi wa kwanza na washindi wa pili walikuwa ni crew ya S.O.G "( space of Gangsters)
Crew ambayo alikuwepo wasanii kama Ay , snare , Buff G .
Mimi kama mack dizzo nilishika nafasi ya kwanza (1) katika lile shindano .
Na wao kama Crew ya S.O.G " ( space of Gangsters) walishika nafasi ya Pili (2) katika lile shindano..
Pale baada ya shindano hilo kukamilika yule designer aliamua kuwachukua kabisa kwahyo
Ay , snare & buff G wakaamua kujiita ( C.b.m crew) check Bob maarifa..
Yule designer aliwachukua maana aliwakubali sana Enzi hizo ..
Kwenye upande wa ile "Hip hop halisi Decomentary ilifanyika katika ukumbi mmoja hivi mitaa ya kinondoni karibu kabisa na kijiwe kimoja maarufu sana Enzi hizo " American chips.
Ukumbi huo ulikuwa unaitwa " FM CLUB" ..
Ambapo Enzi hizo sisi tukiwa bado wadogo palikuwa panaitwa " lang'ata"
Kulikuwepo na wasanii na producer wengi Tu kama vile p funk majani , solo thang , snaz Tee, soggy doggy & Bad G ( witness a.k.a kibonge mwepesi)
Na wengine wengi..
Sisi "ugly faces" ndio ilikuwa Crew pekee inayowakilisha mtaa wa Ilala wote Enzi hizo kulikuwa hakuna crew nyingine zaidi ya " ugly faces"
Mpaka pale washkaji zangu waliposafiri wakaenda zao America ..
Baada ya hapo ndio wakapatikana wasanii wengine kama Dully sykes , Chid benz ..
Lakini "ugly faces" ndio tulikuwa waanzirishi wa movement za Muziki ilala Enzi hizo..
Baada ya harakati za hapa na pale kama solo Artist ndipo nikaja kukutana na msanii anaitwa " Godfrey Tumaini a.k . Dudu baya tukaanzisha kitu kinaitwa " Da skendo" kiukweli "Da skendo " lilikuwa sio kundi kama wengi walivyodhani hapo awali miaka ile ya nyuma wakati mimi nipo na Dudu baya..
Sisi tulienda kwenye Tamasha Moja la wasanii Zanzibar Enzi hizo .
sasa kwa miaka ile ya nyuma wasanii wengi ambao walienda kushiriki lile Tamasha ..
walikuwa ni Aina fulani ya wasanii ambao hawataki kuonekana mara kwa mara street , sehemu mbalimbali za starehe nyani kwa kifupi muda mwingi walikuwa ni watu wakujifungia ndani na kutokupenda kuonekana mbele za watu kabla ya Tamasha kufanyika huko Zanzibar...
Kwahiyo Kati ya hao wasanii mimi na Dudu Baya tukajikuta daily leo tunaingia Club hii kesho Club nyingine na maeneo mbalimbali ya starehe huko Zanzibar hata iwe usiku wa manane ilikuwa ni mwendo wa party after party..
Urafiki wangu mimi na Dudu Baya ndio Chachu iliyopelekea kuanzishwa kwa " Da skendo"
Da ilisimama kama kifupi cha neno ama jina " Dar es Salaam na Neno " skendo " lilisimama kama vituko ama matukio ..
Kwenye miaka 2005/6..
Yote hii ilipelekea kujiita "Da skendo" ni kutokana na mapito yetu Enzi hizo mimi na Dudu Baya , watu wa matukio mara hivi mara vile nyani ilikuwa ni hatari...
Watoto wa mjini tunaweza
kusema " wazee wa skendo za town"
Makundi ya mwanzo kabisa yaliotuinspire sisi ni kama vile " The demplowmatz" , kwanza Unit, Hard blastaz nk .
Kwa Taifa la Marekani watu kama kina lil Cool jay , produce r kama Dr. Dre ndio walituinspire..
Nyimbo yangu ya " Sugar mumy" niliyomshirikisha Msanii Dully sykes Enzi hizo ni True Stori ambayo ilimtokea jamaa yangu wa karibu sana ambaye tulikuwa nae katika Crew yetu ya " ugly faces"
Anaitwa "Eazy Dazz" yenye ndio alikuwa anaishi maisha hayo kama messenge ama ujumbe unavyosema katika ile Ngoma .
Alikuwa anaishi na Girlfriend wake ambae alikuwa anasoma University of Dar Es Salaam anasomea mambo ya udoctor na alikuwa anajimama lilikuwa linafanya Kazi pale kwenye ofisi za T.R.A ..
Kwahiyo jamaa akawa anachukua fedha kutoka kwa yule mama mfanyakazi wa T.R.A na kwenda kuenjoy na yule Girlfriend wake...
Kwahiyo Hii ni True stori jambo hili liliendelea mpaka pale jamaa alipoamua kusafiri kwenda zake Marekani Enzi hizo. .
Kabla hajasafiri jamaa yangu aliweza kuisikia ile Ngoma ya " Sugar Mumy " na kusema Da jamaa yangu , mbona message ama lycris zilizopo Humu ni kama umeniimbia mimi wimbo ho..
Nikamueleza hamna msela wangu hii ni kama sanaa tu ..
Kwahiyo kwa namna Moja ama nyingine maisha ya msela wangu wa karibu yakawa yamenipa Ngoma na mpaka leo hiyo Ngoma kali..
🔥🔥🔥🔥
Changamoto niliyoipata ni ile dhana au Desturi ya wazee wetu Enzi hizo kuwa kijana anayefanya Muziki ni muhuni tu ..
Unaonekana umepoteza Dira katika Maisha na hutaki shule, ndio changamoto kubwa ambayo tulikuwa tunaiface sisi kama wasanii Enzi hizo..
Kipindi nakutana na msanii Dudu Baya alikuwa Tayari ana hit songs kama vile " mwanangu huna nidhamu, na alikuwa na kundi ama crew yake inaitwa " Dudu Baya Foundation"
Ndio walikuwepo wale madogo kama Dogo hamidu nk ..
Da skendo alikuwa kundi in search ilikuwa kama tu utambulisho ukiniona mimi kwenye stage na Dudu Baya ujue ni " Da skendo" ila sio crew kama wengi wanavyofahamu..
Dudu Baya na mimi kila mmoja alikuwa ana project zake binafsi kama solo Artist..
Muunganiko wangu mimi na Dudu Baya ulikuwa unapatikana pale lilipotokea ama kualikwa kwenye Tamasha kwenda kuparform pamoja..
Kiukweli hatukubahatika kufanya Kazi ya pamoja kama " Da skendo" ingawa na kumbukumbu kuna wimbo mmoja ulijulikana kwa jina la " Baba mwenye nyumba"
Mimi kama mack dizzo nilifanya " intro"
Akaimba Dada mmoja anaitwa " Queen darleen pamoja na dogo hamidu ambaye kwa sasa ndie anayejiita " yandu tozzy" pamoja na Dudu Baya lakini hatukuwahi kufanya nyimbo ya pamoja..
Maana kila mmoja alikuwa anakaa mtaani kwake na mara nyingi tulikuwa tunakutana kwenye matukio tu ..
Ingawa kuna nyakati mimi na Dudu Baya tulikuwa tunapenda kwenda pamoja studio kufanya project zetu kama solo Artist kila mmoja kivyake ..
🔥🔥🔥🔥🔥
ukwaju_wa_ kitambo
0767 542 202
#funguka.View attachment 3097040
Mimi mwenyewe nashangaa sijui kwanini hataki kuwaelezea hao unique sisters hata anapoitwa kwenye media huwa haizungumzii hiyo ngoma as if hajaimba yeye, kuna siku alifanya mahojiano na Sareh Jabili kwenye show ya the classic lakini hakuitaja hiyo truck anyway huwa napenda Beat lake linavyoanza aisee huwa naburudika sana😀😀😀Tupe story zaidi kuhusu uhusiano wako ba unique sisters, tuambie kihusu too proud, zungumzia wimbo wako wa Mja wako ( this is my favourate), zungumzia Amana vijana center. Waeleze vijana jinsi ilala ilivyochangia ukuaji wa muziki kwa ujumla.
Sasa kuna haja gani ya kusema ulipiga naye pichaMkuu nishee picha kwasababu ipi ya Msingi?
Omba sana usije ukapata mwanaume akakupa mimba ukazaa toto jinga kama ulivyo mama yake!Sasa kuna haja gani ya kusema ulipiga naye picha
Muda wako ukishapita umepita
Wajinga kama wewe huwa nawaacha badala ya kujibu swali unaaanza taarabu na kukata maunoOmba sana usije ukapata mwanaume akakupa mimba ukazaa toto jinga kama ulivyo mama yake!
Mumeo ajakukung'uta kidumwashi usiku wa kuamkia mwaka mpya ndiyo maana una Genye za kutosha!Wajinga kama wewe huwa nawaacha badala ya kujibu swali unaaanza taarabu na kukata mauno
Rubbish! Ndo yaliyojaa kichwani na ndo mwisho wa mawazo yakoMumeo ajakukung'uta kidumwashi usiku wa kuamkia mwaka mpya ndiyo maana una Genye za kutosha!
Sanaaaaa Mack Dizo nilipenda sauti yake na style. Nakumbuka Mja Wako na Cheza NamiJamaa ulikua unarap vizur sana na sout flani hivi ya kukoroma. Kuna ile ngoma yako " njoo ucheze na mi" bonge moja la dude sema watoto wa elfu mbili hawawezi kukujua
Acha makasiriko mtoto mzuri,muandalie mumeo pilau la Mwaka mpya!Rubbish! Ndo yaliyojaa kichwani na ndo mwisho wa mawazo yako
Nonsense!Acha makasiriko mtoto mzuri,muandalie mumeo pilau la Mwaka mpya!
Zamani kabla Chuo cha Muhimbili (MUHAS ya sasa) hakijajitegemea kilikuwa kikiitwa Muhimbili University College of Health Sciences (MUCHS) ambayo ilikuwa college chini ya UDSM.Story nzuri.
Ila UDSM wameanza kutoa kozi ya udaktari juzi juzi tu, 2015 au 2016 hivi.
Good memories bro legend, ngoma yako ya Jumba Bovu haipiti mwezi lazima niiskilize.. hii ngoma sometimes ipo sometimes haipo youtube ila haka kakipande kama sijakosea… “Natoka maskani naelekea kiwanjani, jicho nyanya nlikuwa nimekolea jani, nje jua kali nkaona niingie supermarket nipoze koo kwa juis na keki, kaunta mrembo.. naitwa nuruuu.. anashoboka kimtindo, anashow mapendo kwa mchizi wa Da Skendo, Naitwa toto tundu kamata mwekundu keep change mambo ya kizungu….” (baada ya hapo kilichokukuta pole sana mkuu)HARAKATI KAMILI ZA MACK DIZZO & UGLY FACES KWENYE GAME YA BONGO FLEVA KABLA YA CHID BENZ KUITAWALA "ILALA"