Harakati za msanii Mack Dizzo kwenye game ya bongo fleva

Mzee baba enzi hizo miaka ya 2003 - 2006 ulikuwa mteja wangu mitaa ya Sinza Mori mpaka Mapambano. Dah ulikuwa mtu poa sana na sauti yako ya kukwaruza. Dah maisha ni safari sema Dudu alikuwa akiwatia vitasa sana. Nakumbuka Disko Bombastic Enzi za Mawingu Studio.
 
Hawezi kushare hio picha humu watu hawapendi kujulikana sijui kwa nini.
Ukisema hivyo tunajua hii forum hauijui mada zake kiasili, au zinakuwaje. Humu ukijiweka wazi kuna mada utashindwa kuchangia, na nyuma ukute ulishakanyagia serikali na wakulungwa kinoma noma
 
Njoo ucheze nami, Njoo ucheze na mimi Shorii


Nakupenda pia nakutaka pia, waa waa mchizi nakufagilia

Respect sana Mack Dizzo mlifanya makuzi yetu wengine yawe poa sana sababu ya nyimbo zenu

Heshima kubwa kwako na wengine kwa kuweka misingi ya hili game
 
Tupe story zaidi kuhusu uhusiano wako ba unique sisters, tuambie kihusu too proud, zungumzia wimbo wako wa Mja wako ( this is my favourate), zungumzia Amana vijana center. Waeleze vijana jinsi ilala ilivyochangia ukuaji wa muziki kwa ujumla.
Mimi mwenyewe nashangaa sijui kwanini hataki kuwaelezea hao unique sisters hata anapoitwa kwenye media huwa haizungumzii hiyo ngoma as if hajaimba yeye, kuna siku alifanya mahojiano na Sareh Jabili kwenye show ya the classic lakini hakuitaja hiyo truck anyway huwa napenda Beat lake linavyoanza aisee huwa naburudika sana😀😀😀
 
Muda wako ukishapita umepita

Hapana, Bado ana nafasi nzuri tu inategemea anarudi vipi. Hata Jay moe alirudishwa kinguvu kupitia trap music.

Kule marekani kuna mtu kama DJ Mustard alifanya kazi kubwa kuwarudisha ma legends kwa style yake ya muziki na wakarudi.
 
Wajinga kama wewe huwa nawaacha badala ya kujibu swali unaaanza taarabu na kukata mauno
Mumeo ajakukung'uta kidumwashi usiku wa kuamkia mwaka mpya ndiyo maana una Genye za kutosha!
 
Jamaa ulikua unarap vizur sana na sout flani hivi ya kukoroma. Kuna ile ngoma yako " njoo ucheze na mi" bonge moja la dude sema watoto wa elfu mbili hawawezi kukujua
Sanaaaaa Mack Dizo nilipenda sauti yake na style. Nakumbuka Mja Wako na Cheza Nami
 
Story nzuri.

Ila UDSM wameanza kutoa kozi ya udaktari juzi juzi tu, 2015 au 2016 hivi.
 
Good memories bro legend, ngoma yako ya Jumba Bovu haipiti mwezi lazima niiskilize.. hii ngoma sometimes ipo sometimes haipo youtube ila haka kakipande kama sijakosea… “Natoka maskani naelekea kiwanjani, jicho nyanya nlikuwa nimekolea jani, nje jua kali nkaona niingie supermarket nipoze koo kwa juis na keki, kaunta mrembo.. naitwa nuruuu.. anashoboka kimtindo, anashow mapendo kwa mchizi wa Da Skendo, Naitwa toto tundu kamata mwekundu keep change mambo ya kizungu….” (baada ya hapo kilichokukuta pole sana mkuu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…