Harakati za Mwigulu Nchemba ni kama za hayati Edward Lowassa na mzee "Jumanne" kwenye urais

Harakati za Mwigulu Nchemba ni kama za hayati Edward Lowassa na mzee "Jumanne" kwenye urais

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Huyu jamaa ni waziri wa wizara nyeti ya fedha ila anafanya mambo ambayo hayaeleweki kabisa kwenye hizi mbio za kwenda ikulu mwaka 2030.

Mara aage jimboni kuwa hatagombea tena mwaka 2030 bali anafikiria nafasi ya juu zaidi na anaweka na mrithi kabisa. Mara wachezaji wa timu yake B wapewe uraia kimagumashi. Mara sijui ana mabyuro Di chenji nchi nzima, mara aandike mawe. Yan full vihoja!

Kitu ambacho hakijui ni kuwa watu wa aina yake hawajawahi kukanyaga ikulu. Kuanzia mzee Jumanne njoo hadi kwa Lowassa. Ni wanaishia kuwa matinga tinga na kila zama na tinga tinga lake. Awamu hii tinga tinga ni Mwigulu Nchemba. Unachimba barabara vinapita viaiesitii kiulainiii.
 
Mwamba ni fighter sana, inasemekana aliwahi kuwa na ndoto akiwa shule kuwa ipo siku sahihi yake itakaa kwenye pesa ya nchi na kweli ndoto imetimia so ni strategist mzuri, mtu mwenye maono ya kufika mbali binafsi huwa namuheshimu sana mtu wa namna hii
 
Hakika
 
You are right, ukiangalia historia yake katika safari yake ya maisha na mpaka hapa alikofikia, without coming from a big name family background, it is enough to place him among the few successful politicians who fought their political careers on their own through their determined efforts and loyalty , and with calculated strategies , he can still climb and move further in the ladder. He has all it takes to be there. In 2015 among the candidates who had vowed for the consideration in their Party to be the Flag bearer, It was only him and Prof Muhongo who prepared and delivered the best Speeches while appealing to their party members and the wider Tanzanians on what they would do for them and the country if they are given the Mandate . With now equipped with so much experience in the Government and Party politics, I cant see why he will not be one of the serious contenders come 2030. Yeye ni Mtoto wa Mkulima na anaweza kuwa Kiongozi number moja mzuri kuliko wale wanaobebwa tu na majina ya baba na babu zao.
 
Back
Top Bottom