Mwamba ni fighter sana, inasemekana aliwahi kuwa na ndoto akiwa shule kuwa ipo siku sahihi yake itakaa kwenye pesa ya nchi na kweli ndoto imetimia so ni strategist mzuri, mtu mwenye maono ya kufika mbali binafsi huwa namuheshimu sana mtu wa namna hii