Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 925
Wanapenda Kama hivi ukikamatwa na kuteswa na kuuliwa wakomenti na kulike Ila hawawezi kuishinikiza mamlaka ikutendee haki.Shida ya wa bongo ndio hiyo unafiki
Kwahiyo wewe unaijua Kesi kuliko Mimi victimWrite your reply...ulimkosoa au ulimtukana?
Unaongea ujinga wewe ndo wale wapumbavu mnatumia key body huku mkiwa mmejifichaMtatumwa sana kuwakatisha tamaa watanzania.
Watanzania tumeshasema its do or Die. Mwaka huu lazima mafisadi mtoke madarakani.
Ingekuwa kipindi hiki usingeonekana kabisa.Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli.
Kipindi kile nilikuwa na miaka 21
Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend .
Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu na muda mfupi huyo mwanasheria Magufuli alimteua kwa sasa ni Jaji .
Ila nilikaa lockup 7 days na one month in prison
So ku risk maisha yako kisa wapumbavu wanaojiita waswahili ni hatari .
Wengi key body worries hamjawahi hata kukutana na changamoto yoyote
Cha woga mtoto wa kiume!Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli.
Kipindi kile nilikuwa na miaka 21
Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend .
Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu na muda mfupi huyo mwanasheria Magufuli alimteua kwa sasa ni Jaji .
Ila nilikaa lockup 7 days na one month in prison
So ku risk maisha yako kisa wapumbavu wanaojiita waswahili ni hatari .
Wengi key body worries hamjawahi hata kukutana na changamoto yoyote
Live or die ungemjibu mdau kwa faida ya wengi.Write your reply...ulimkosoa au ulimtukana?
Live or die ungemjibu mdau kwa faida ya wengi.
Na je Ulimkosoaje? .
Mm leo niseme Serikali ya Mama Samia haijali wananchi wa Liwale. Wiki ya 3 hii hatuna maji. Serikal na shirika lake la maji limeshindwa kutujali. Nitakamatwa?.
Mimi nilikosoa kuhusu matumizi ya pesa zilizochangwa kuwasaidia wahaga wa tetemeko la ardhi kutotumika vyema .
Kumkejeli au kumtukana mtu ni ni sehemu ya uhuru wa demokrasia, akichukia au asipopenda yeye mwenyewe aliyetukanwa anaweza kufungua kesi ya madai binafsi.Write your reply...ulimkosoa au ulimtukana?
Haipaswi kutegemea umekosoaje, serikali hata haipaswi kupangia watu namna ya kukukosoa, ni upuuzi mtupu.Yes inategemea umekosoaje kwakuwa Mimi nilikosoa kuhusu matumizi ya pesa zilizochangwa kuwasaidia wahaga wa tetemeko la ardhi kutotumika vyema .
Na nilikosoa kwa kutumia Logic na kuishauri Serikali Kuwa kwakuwa Serikali haina uwezo wa kuwajengea nyumba kila mmoja Ila ijaribu kutoa ruzuku kwenye viwanda vya cement na mabati na nondo at least one month .....
So mambo yalikuwa Kama hivyo
Hawa mnaowana mitandaoni ni wanaharakati uchwara ambao hawana msaada wowote .
Kwakuwa niliwachek wanipe msaada wa kisheria wakanitosa
Sema nilipambana kwa kutumia akili Sana nikaimaliza case haraka nilitumia mwaka 1
Mtatumwa sana.Unaongea ujinga wewe ndo wale wapumbavu mnatumia key body huku mkiwa mmejificha
Huyo Mwanasheria alipandishwa cheo ama alishishwa cheo?Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu na muda mfupi huyo mwanasheria Magufuli alimteua kwa sasa ni Jaji .