Harakati za Tanzania ni ngumu, mimi mwaka 2017 nilikamatwa

Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli.

Kipindi kile nilikuwa na miaka 21

Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend .

Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu na muda mfupi huyo mwanasheria Magufuli alimteua kwa sasa ni Jaji .

Ila nilikaa lockup 7 days na one month in prison

So ku risk maisha yako kisa wapumbavu wanaojiita waswahili ni hatari .

Wengi key body worries hamjawahi hata kukutana na changamoto yoyote
Watu wana unafiki sana , utakuja kushangaa msala umekudondokea wewe
 
Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli.

Kipindi kile nilikuwa na miaka 21

Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend .

Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu na muda mfupi huyo mwanasheria Magufuli alimteua kwa sasa ni Jaji .

Ila nilikaa lockup 7 days na one month in prison

So ku risk maisha yako kisa wapumbavu wanaojiita waswahili ni hatari .

Wengi key body worries hamjawahi hata kukutana na changamoto yoyote
Chawa acha story za kutunga, a real fighter hawezi kuwa na upumbavu wa ku-discourage walioamua kupambana.
UVCCM you're now bringing a lot all sorts of crafted stories but it's easy to identify your deceptions.
 
So ku risk maisha yako kisa wapumbavu wanaojiita waswahili ni hatari .

Wengi key body worries hamjawahi hata kukutana na changamoto yoyote
Kwamba ulifanya hivyo ili kutetea waswahili au wewe conscious yako ndio ilikutuma ili ufanye unachofanya na ulikufanya sababu unajua it is the right thing ? (Kama ulifanya ili urudishiwe / upate kitu) hapo ulikosea ila kama wewe ndivyo ulivyo ambapo unaona pamepinda unataka kupanyoosha huyo ni wewe na kufanya kwako hivyo ndio kuwa WEWE (na ndio furaha yako)

Lakini kama ulifanya ili uwe mwenyekiti wa Mtaa basi achana na hizo habari kalime Karanga... (It's a Struggle not a Destination / Enjoy the Ride, Kumbuka You can not Stop the Waves but you can Learn to Surf
 
Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli.

Kipindi kile nilikuwa na miaka 21

Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend .

Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu na muda mfupi huyo mwanasheria Magufuli alimteua kwa sasa ni Jaji .

Ila nilikaa lockup 7 days na one month in prison

So ku risk maisha yako kisa wapumbavu wanaojiita waswahili ni hatari .

Wengi key body worries hamjawahi hata kukutana na changamoto yoyote
Hakika nimekuelewa...
 
Alitekwa Mo yaani page zote zilichafuka free Mo. Ila Polepole katekwa na kuuawa. Watu wote kimya.
 
Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli.

Kipindi kile nilikuwa na miaka 21

Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend .

Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu na muda mfupi huyo mwanasheria Magufuli alimteua kwa sasa ni Jaji .

Ila nilikaa lockup 7 days na one month in prison

So ku risk maisha yako kisa wapumbavu wanaojiita waswahili ni hatari .

Wengi key body worries hamjawahi hata kukutana na changamoto yoyote
Kwa hiyo ulitaka kusemaje mkuu?
 
Lete hapa uo ukosoaji wako tuuone, siyo kutuambia upumbavu usio na ushahidi
 
Unaumia ukiwa wapi? Ushaandaa ndege ya kukutorosha na familia yako?
Naona kama unageuka wewe. Na kuhakikisha mama anapeta Miaka Zaidi, na ukimaliza uchagizi tunazidi kuzibinya Pu**bu Kwa pakari kama mtahama nchi mtajua nyinyi wenyewe. ...Kwani naona uko usingizi angalia using jikojolea..
 
Back
Top Bottom