Digitaldreamer
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 879
- 1,578
Watu wana unafiki sana , utakuja kushangaa msala umekudondokea weweMwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli.
Kipindi kile nilikuwa na miaka 21
Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend .
Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu na muda mfupi huyo mwanasheria Magufuli alimteua kwa sasa ni Jaji .
Ila nilikaa lockup 7 days na one month in prison
So ku risk maisha yako kisa wapumbavu wanaojiita waswahili ni hatari .
Wengi key body worries hamjawahi hata kukutana na changamoto yoyote
Chawa acha story za kutunga, a real fighter hawezi kuwa na upumbavu wa ku-discourage walioamua kupambana.Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli.
Kipindi kile nilikuwa na miaka 21
Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend .
Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu na muda mfupi huyo mwanasheria Magufuli alimteua kwa sasa ni Jaji .
Ila nilikaa lockup 7 days na one month in prison
So ku risk maisha yako kisa wapumbavu wanaojiita waswahili ni hatari .
Wengi key body worries hamjawahi hata kukutana na changamoto yoyote
Story yake ya kutunga, chawa wa Ajuza Kizimkazi huyo.Huyo Mwanasheria alipandishwa cheo ama alishishwa cheo?
Ukiona hivyo, hao waliokukamata walikuwa hawajatumwa na Hayati Magufuli.
Kwamba ulifanya hivyo ili kutetea waswahili au wewe conscious yako ndio ilikutuma ili ufanye unachofanya na ulikufanya sababu unajua it is the right thing ? (Kama ulifanya ili urudishiwe / upate kitu) hapo ulikosea ila kama wewe ndivyo ulivyo ambapo unaona pamepinda unataka kupanyoosha huyo ni wewe na kufanya kwako hivyo ndio kuwa WEWE (na ndio furaha yako)So ku risk maisha yako kisa wapumbavu wanaojiita waswahili ni hatari .
Wengi key body worries hamjawahi hata kukutana na changamoto yoyote
Nimezifuatilia post zako wewe, Katika hao wapiuzi ni namba 1Mtatumwa sana kuwakatisha tamaa watanzania.
Watanzania tumeshasema its do or Die. Mwaka huu lazima mafisadi mtoke madarakani.
Hakika nimekuelewa...Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli.
Kipindi kile nilikuwa na miaka 21
Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend .
Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu na muda mfupi huyo mwanasheria Magufuli alimteua kwa sasa ni Jaji .
Ila nilikaa lockup 7 days na one month in prison
So ku risk maisha yako kisa wapumbavu wanaojiita waswahili ni hatari .
Wengi key body worries hamjawahi hata kukutana na changamoto yoyote
Unaumia ukiwa wapi? Ushaandaa ndege ya kukutorosha na familia yako?Nimezifuatilia post zako wewe, Katika hao wapiuzi ni namba 1
Hata wewe mbona unatumia keyboard ukiwa umejificha? Au unahisi hii ID yako watu wanakujua?Unaongea ujinga wewe ndo wale wapumbavu mnatumia key body huku mkiwa mmejificha
Kwa maandishi yako mtu mjinga ndio ataamini ulichoandika. Hakuna kesi wala lolote.Kwahiyo wewe unaijua Kesi kuliko Mimi victim
Watu wameshazoea sasa.Alitekwa Mo yaani page zote zilichafuka free Mo. Ila Polepole katekwa na kuuawa. Watu wote kimya.
Kwa hiyo ulitaka kusemaje mkuu?Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli.
Kipindi kile nilikuwa na miaka 21
Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend .
Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu na muda mfupi huyo mwanasheria Magufuli alimteua kwa sasa ni Jaji .
Ila nilikaa lockup 7 days na one month in prison
So ku risk maisha yako kisa wapumbavu wanaojiita waswahili ni hatari .
Wengi key body worries hamjawahi hata kukutana na changamoto yoyote
Naona kama unageuka wewe. Na kuhakikisha mama anapeta Miaka Zaidi, na ukimaliza uchagizi tunazidi kuzibinya Pu**bu Kwa pakari kama mtahama nchi mtajua nyinyi wenyewe. ...Kwani naona uko usingizi angalia using jikojolea..Unaumia ukiwa wapi? Ushaandaa ndege ya kukutorosha na familia yako?