Harambe ya THRDC itakayoongozwa na Dkt. Emmanuel John Nchimbi itavunja record ya makusanyo ya pesa nyingi zaidi ya lengo kwa muda mfupi sana

Harambe ya THRDC itakayoongozwa na Dkt. Emmanuel John Nchimbi itavunja record ya makusanyo ya pesa nyingi zaidi ya lengo kwa muda mfupi sana

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi anaiwakulisha serikali katika mkutano mkuu wa THRDC na kuongoza harambe muhimu sana kwa ustawi wa shirika hilo la haki za binadamu nchini.

Unadhani harambee hiyo itakayoongozwa na makamu wa Rais, itavuka lengo walilojiwekea THRDC kwa kiasi gani, na kuvunja record ya harambe nyingine zote alizowahi kuongoza kiongozi huyo wa kitaifa nje ya chama chake?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi anaiwakulisha serikali katika mkutano mkuu wa THRDC na kuongoza harambe muhimu sana kwa ustawi wa haki za binadamu nchini.

Unadhani harambee hiyo itakayoongozwa na makamu wa Rais, itavuka lengo walilojiwekea THRDC kwa kiasi gani, na kuvunja record ya harambe nyingine alizowahi kuongoza kiongozi huyo wa kitaifa nje ya chama chake?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kiongozi wa ccm ukiona amekubali kwenda kuingoza Harambee ya kuchangia shughuli Basi jua amesha andaa watu wa kwenda kuchangia
 
Sasa ndugu yangu hapo unatofautisha nini? Hiyo michango yote inaongozwa na viongozi wa ccm ambayo inawalazimisha watu kuichangia
usimpotoshe mdau wa jf kwa hisia zako binafsi potofu hivyo gentleman na itapendeza zaidi 🐒
 
Naona watu kama wanasahau huyu bwana ndio alikuwa injini kuu ya chama tawala hivi karibuni. Yale majukwaa ya harambee za kisiasa alizokuwa anapiga kule nyuma sasa hivi anayahamishia kwenye asasi za kiraia.

Hapa kinachotafutwa sio maendeleo ya haki za binadamu, bali ni kutengeneza mifereji mipya ya kutunza political influence nje ya ofisi za chama.
 
Harambee haijafanyika bado, lakini unaripoti kukusanya pesa nyingi! 😊
ni muhimu sana ukasoma na kuelewa maelezo yangu ya msingi kwenye hoja mahususi mezani,

huna haja ya kusoma kwa kuweweseke gentleman na itapendeza zaidi 🐒
 
Makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi anaiwakulisha serikali katika mkutano mkuu wa THRDC na kuongoza harambe muhimu sana kwa ustawi wa shirika hilo la haki za binadamu nchini.

Unadhani harambee hiyo itakayoongozwa na makamu wa Rais, itavuka lengo walilojiwekea THRDC kwa kiasi gani, na kuvunja record ya harambe nyingine zote alizowahi kuongoza kiongozi huyo wa kitaifa nje ya chama chake?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Nyie ndo mnatakiwa muwe ndani, Maana hoja zenu ni za Ovyo na uchochezi!
 
Back
Top Bottom