ujira wa nini katika kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi yaliyowazi kama hiyo harambee ya THRDC itakayoongozwa na makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi?Hakuna asiejua Kama nyinyi ujira wenu ni buku7 ndio maana tunawaita Lumumba buku 7fc Kama imepanda sawa Ila Toka Nape akiwa boss ujira ulikua buku7
Kwani ile ya ccm ilikuwa harambe au ilikuwa ujambazi wa kushurutisha watu watoe pesa zaoHaiwezi kufikia record ya Harambee iliyofanyika mliman city ya kuichangia ccm
Sioni wivu wowote,wivu wangu ni Tanzania iwe ya HakiKwa Kila Binadamukwamba unaona wivu na kujawa na makasiriko dhidi ya harambee ya hadhara ya THRDC kuongozwa na Dr Emmanuel John Nchimbi?🐒
una nini sasa kama sio makasiriko gentleman?Sioni wivu wowote,wivu wangu ni Tanzania iwe ya HakiKwa Kila Binadamu
Hakuna makasiriko Nina uchungu na Nchi kusema Haki mdomoni, Vitendo sifuri!una nini sasa kama sio makasiriko gentleman?
makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi amealikwa na THRDC kwenye harambee kwaajili ya ujenzi wa makao yao makuu, nini changamoto yako hapo hata ujawe mihemko na hasira hivyo?🐒
sasa gentleman,Hakuna makasiriko Nina uchungu na Nchi kusema Haki mdomoni, Vitendo sifuri!
Hakuna asiejua Kama nyinyi ujira wenu ni buku7 ndio maana tunawaita Lumumba buku 7fc Kama imepanda sawa Ila Toka Nape akusimpotoshe mdau wa jf kwa hisia zako binafsi potofu hivyo gentleman, plz, heshima haki za binadamu kwa kuacha utapeli wa kifikra 🐒
KWENYE KUKATA VIUNO HAPO NDIO MIMI UNANIUZA KABISA kwani huwezi ongea bila kutingisha matako?ujira wa nini katika kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi yaliyowazi kama hiyo harambee ya THRDC itakayoongozwa na makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi?
au mihemko useless na makasiriko nonsense binafsi ni kipaji?🤣
nadhani ni vizuri sana ukijikita kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka wala kua na mihemko useless jukwaani na itapendeza zaidi 🐒Hakuna asiejua Kama nyinyi ujira wenu ni buku7 ndio maana tunawaita Lumumba buku 7fc Kama imepanda sawa Ila Toka Nape ak
KWENYE KUKATA VIUNO HAPO NDIO MIMI UNANIUZA KABISA kwani huwezi ongea bila kutingisha matako?
Shida Man Hupendi kuambiwa ukweli Tlaatlaahmnadanganyana na kupotoshana kinyonge mno gentleman 🤣
Dah ndio unaongeza na vidole juu hatari Sana mkata viunonadhani ni vizuri sana ukijikita kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka wala kua na mihemko useless jukwaani na itapendeza zaidi 🐒
Tunashukuru ametoa wito kwa Watanzania kupambana dhidi ya wanaopinga katiba mpyaMakamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi anaiwakulisha serikali katika mkutano mkuu wa THRDC na kuongoza harambe muhimu sana kwa ustawi wa shirika hilo la haki za binadamu nchini.
Unadhani harambee hiyo itakayoongozwa na makamu wa Rais, itavuka lengo walilojiwekea THRDC kwa kiasi gani, na kuvunja record ya harambe nyingine zote alizowahi kuongoza kiongozi huyo wa kitaifa nje ya chama chake?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Haiwezi kufikia record ya Harambee iliyofanyika mliman city ya kuichangia ccm
Saa hii hatuangalii harambee, tunaangalia alichokisema kuhusu kupambania katiba mpya, ndio jambo la maana sasa, tupambanie katiba mpya!Makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi anaiwakulisha serikali katika mkutano mkuu wa THRDC na kuongoza harambe muhimu sana kwa ustawi wa shirika hilo la haki za binadamu nchini.
Unadhani harambee hiyo itakayoongozwa na makamu wa Rais, itavuka lengo walilojiwekea THRDC kwa kiasi gani, na kuvunja record ya harambe nyingine zote alizowahi kuongoza kiongozi huyo wa kitaifa nje ya chama chake?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Saa hii hatuangalii harambee, tunaangalia alichokisema kuhusu kupambania katiba mpya, ndio jambo la maana sasa, tupambanie katiba mpya!