Sasa ndugu yangu hapo unatofautisha nini? Hiyo michango yote inaongozwa na viongozi wa ccm ambayo inawalazimisha watu kuichangiaHaiwezi kufikia record ya Harambee iliyofanyika mliman city ya kuichangia ccm
Kiongozi wa ccm ukiona amekubali kwenda kuingoza Harambee ya kuchangia shughuli Basi jua amesha andaa watu wa kwenda kuchangiaMakamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi anaiwakulisha serikali katika mkutano mkuu wa THRDC na kuongoza harambe muhimu sana kwa ustawi wa haki za binadamu nchini.
Unadhani harambee hiyo itakayoongozwa na makamu wa Rais, itavuka lengo walilojiwekea THRDC kwa kiasi gani, na kuvunja record ya harambe nyingine alizowahi kuongoza kiongozi huyo wa kitaifa nje ya chama chake?π
Mungu Ibariki Tanzania
Yeye anaingiza buku 7 KILA uchaoMkuu na wewe mshahara wako huwa unapokea mwisho wa mwezi kama sisi?
Naijua ccm kuliko unavyo ifahamuusimpotoshe mdau wa jf kwa hisia zako binafsi potofu hivyo gentleman na itapendeza zaidi π
ni muhimu sana ukasoma na kuelewa maelezo yangu ya msingi kwenye hoja mahususi mezani,Harambee haijafanyika bado, lakini unaripoti kukusanya pesa nyingi! π
Nyie ndo mnatakiwa muwe ndani, Maana hoja zenu ni za Ovyo na uchochezi!Makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi anaiwakulisha serikali katika mkutano mkuu wa THRDC na kuongoza harambe muhimu sana kwa ustawi wa shirika hilo la haki za binadamu nchini.
Unadhani harambee hiyo itakayoongozwa na makamu wa Rais, itavuka lengo walilojiwekea THRDC kwa kiasi gani, na kuvunja record ya harambe nyingine zote alizowahi kuongoza kiongozi huyo wa kitaifa nje ya chama chake?π
Mungu Ibariki Tanzania
CCM lazima wamuhujumuHaiwezi kufikia record ya Harambee iliyofanyika mliman city ya kuichangia ccm
Hakuna asiejua Kama nyinyi ujira wenu ni buku7 ndio maana tunawaita Lumumba buku 7fc Kama imepanda sawa Ila Toka Nape akiwa boss ujira ulikua buku7usimpotoshe mdau wa jf kwa hisia zako binafsi potofu hivyo gentleman, plz, heshima haki za binadamu kwa kuacha utapeli wa kifikra π
Tunajua ni ileile haijabadilika! Itakuwa chama pinzani,2030!Ccm ni ile ile