Harambe ya THRDC itakayoongozwa na Dkt. Emmanuel John Nchimbi itavunja record ya makusanyo ya pesa nyingi zaidi ya lengo kwa muda mfupi sana

Hakuna asiejua Kama nyinyi ujira wenu ni buku7 ndio maana tunawaita Lumumba buku 7fc Kama imepanda sawa Ila Toka Nape akiwa boss ujira ulikua buku7
ujira wa nini katika kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi yaliyowazi kama hiyo harambee ya THRDC itakayoongozwa na makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi?

au mihemko useless na makasiriko nonsense binafsi ni kipaji?🀣
 
Sioni wivu wowote,wivu wangu ni Tanzania iwe ya HakiKwa Kila Binadamu
una nini sasa kama sio makasiriko gentleman?

makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi amealikwa na THRDC kwenye harambee kwaajili ya kuchangisha fedha za ujenzi wa makao yao makuu, nini changamoto yako hapo hata ujawe mihemko na hasira hivyo?πŸ’
 
Hakuna makasiriko Nina uchungu na Nchi kusema Haki mdomoni, Vitendo sifuri!
sasa gentleman,
hisia na uchungu wako vinasaidia nini kwenye harambee ya THRDC katika kuchangisha pesa kwaajili ya ujenzi wa makao makuu yao?

mi nadhani ni muhimu sana ukatafuta njia mbadala binafsi za kuondoa machungu yako badala ya kuonekana kama mnafiki tu jukwaani πŸ’
 
usimpotoshe mdau wa jf kwa hisia zako binafsi potofu hivyo gentleman, plz, heshima haki za binadamu kwa kuacha utapeli wa kifikra πŸ’
Hakuna asiejua Kama nyinyi ujira wenu ni buku7 ndio maana tunawaita Lumumba buku 7fc Kama imepanda sawa Ila Toka Nape ak
ujira wa nini katika kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi yaliyowazi kama hiyo harambee ya THRDC itakayoongozwa na makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi?

au mihemko useless na makasiriko nonsense binafsi ni kipaji?🀣
KWENYE KUKATA VIUNO HAPO NDIO MIMI UNANIUZA KABISA kwani huwezi ongea bila kutingisha matako?
 
Hakuna asiejua Kama nyinyi ujira wenu ni buku7 ndio maana tunawaita Lumumba buku 7fc Kama imepanda sawa Ila Toka Nape ak
KWENYE KUKATA VIUNO HAPO NDIO MIMI UNANIUZA KABISA kwani huwezi ongea bila kutingisha matako?
nadhani ni vizuri sana ukijikita kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka wala kua na mihemko useless jukwaani na itapendeza zaidi πŸ’
 
Tunashukuru ametoa wito kwa Watanzania kupambana dhidi ya wanaopinga katiba mpya
 
Saa hii hatuangalii harambee, tunaangalia alichokisema kuhusu kupambania katiba mpya, ndio jambo la maana sasa, tupambanie katiba mpya!
 
Saa hii hatuangalii harambee, tunaangalia alichokisema kuhusu kupambania katiba mpya, ndio jambo la maana sasa, tupambanie katiba mpya!
Gentleman,
alichokisema ni miongoni mwa vipaumbele muhimu sana katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2025-2030.

Kinaweza kua ni kitu kipya na cha kushangaza kwa walioshupaza shingo na kukaza mafuvu wakati wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct.2025πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…